Wapi kwa Tanzania wanalipwa mishahara mirefu?

Wapi kwa Tanzania wanalipwa mishahara mirefu?

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,074
Reaction score
3,753
TUKIWA KAZINI NA JAMAA ZANGU MAZUNGUMZO YALIKUWA HIVI NI WAPI WANAONGOZA KULIPWA MISHAHARA MIREFU HAPA TANZANIA?
NI UN
WENGINE WANASEMA NI WORLD BANK NA FICSA WENGINE WANASEMA NO ni AMREF
KUNA MWINGINE AKAJA KUROPOKA NA KUSEMA NI MAKAMPUNI YA SIMU (WOTE TUKAMCHEKA)
NIKASEMA ISIWE TABU NIKACHUKUA TECHNO YANGU NA KUINGIA HUMU KUULIZA WAKUU NA KILICHONIFANYA NIULIZE NA KUSHTUKA NI KUWA JAMAA MMOJA ALISEMA ETI
ILA JAMAA MMOJA ALINISHTUA NA KUNIAMBIA KUWA UN WANALIPWA MPAKA 70,000 USD PER MONTH
 
hiyo ya 70,000 USD kwa mwezi hata mkuu wa kaya hapati itakua uongo tu!
ngoja tusubiri majibu kwani hata mimi nimekuwa mdau wa thread hii !
 
nyie vijana badala ya kufanya kazi mnaongea tu ofisini!
anyway ni sehemu ya kuchangamshana kwa maongezi!
kama ni un inaweza kuwa hivyo ila mishahara yao wanaweka per annully,labda mdau kasoma vibaya hiyo scale
watakuwa wameandika us$ 700000 per annual ,lakini ukumbuke hawa jamaa wa international hawakati pension
 
hiyo ya 70,000 USD kwa mwezi hata mkuu wa kaya hapati itakua uongo tu!
ngoja tusubiri majibu kwani hata mimi nimekuwa mdau wa thread hii !

Mkuu mbona kuna watu wengi wanalipwa zaidi ya mkuu wa kaya?
 
nyie vijana badala ya kufanya kazi mnaongea tu ofisini!
anyway ni sehemu ya kuchangamshana kwa maongezi!
kama ni un inaweza kuwa hivyo ila mishahara yao wanaweka per annully,labda mdau kasoma vibaya hiyo scale
watakuwa wameandika us$ 700000 per annual ,lakini ukumbuke hawa jamaa wa international hawakati pension

Mkuu kwanza hongera kwa kushinda uchaguzi pili ni kuwa bora ya sisi tunapiga story kazini kuliko wale wanaolala kabisa bungeni
Tatu ni kuwa mishahara yao unaipata ya UN?
 
Mnazungumzia mishahara , marupurupu au yote jumla??? maana hivyo pia vinaleta utofauti
 
Slaa anavuta pesa ndefu balaa mulize josefina atakwambia.Per diem yake mshahara wako wa mwaka
 
Mnazungumzia mishahara , marupurupu au yote jumla??? maana hivyo pia vinaleta utofauti

Tuanze mishahara kwanza then tuendeleee kwenye marupurupu na yote kwa ujumla
 
Slaa anavuta pesa ndefu balaa mulize josefina atakwambia.Per diem yake mshahara wako wa mwaka

Mkuu nimeuliza mshahara wa makampuni unaleta siasa hahahaha sishangai ukisema Tanzania imetokana na visiwa vya Zanzibar na Zimbabwe
 
Mwanangu Wingu hivi leo umeamkia gongo au bangi? Maana watu wanaongelea hili wewe unachomekea lile? Kuna watu wengine bila kumtaja Slaa siku haipiti.
 
Mkuu nilikua nimetoka lakini naona bado jibu halijapatikana jamaa ndio kwanzaaa wanapiga siasa! teh teh...
 
This is the theory: Most guys who make big bucks in the US are the Wall Street fat cats (investment bankers, traders etc.). On average, these guys make more than seven figures (in USD). That being said, I'd expect the traders and investment bankers at DAR STOCK EXCHANGE to earn the same ridiculous $$$ or TZS just like their Wall Street counterparts. So forget about UN, WB, IMF, TIGO or VODA.
Just my thought
 
How do they get money those big fat cats
Na investment banker they can be in IFM or WB
 
Back
Top Bottom