Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 584
- 267
Nataka kujifurahisha leo na taarabu kama kuna anaejua kumbi za taarabu na ratiba ya leo Jumatano anijuze.
Nataka kujifurahisha leo na taarabu kama kuna anaejua kumbi za taarabu na ratiba ya leo jumatano anijuze.
Nipo dar mkuuuko mkoa gani
Nipo dar mkuu
Mmasai na taarabu wapi na wapi....!!njooo kwangu tuweke SIDII
we ni ke au me?
njooo kwangu tuweke SIDII
mmasai na taarabu wapi na wapi....!!