WAPI kiduku lilo

WAPI kiduku lilo

[emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja tumsubirie tajiri wetu wa kibongo, kiduku lilo aje na uzi wa jinsi alivyonusurika kupata corona
Jamani tangu nikutane na Kidukulilo Sweden mweZi November sijamuona Tena..
Mkuu Kidukulilo umepona na Corona maana unasafiri Sana..Au upo quarantine?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja tumsubirie tajiri wetu wa kibongo, kiduku lilo aje na uzi wa jinsi alivyonusurika kupata corona

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli nlikua naongea na mamayangu... Leo asubuhi akawa anamiss vituko vya kiduku lilo..Mama angu anapenda Sana JF.

Kiduko na na maJeep yake na mafwedha yake

Aise!! Kwahiyo mama huwa anaupitia ule Uzi pendwa wa kula tunda kimasihara? Vipi hamjawahi kuujadili? Samahani lakini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani kujua acc za baba, Kaka zangu, maana najua wako jf, sema nashindwa nianzaje kuwauliza maan wao hawajui km me pia npo jf.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mamayangu alinisihi nibadili hili jina langu la JF..nimejitahidi bila mafanikio sijui watu wanawezaje... Ila haingigi huku MMU angeona post zangu angesikitika sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom