Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,988
- 142,390
Ndio ujinga gani umeandika?Tundu Lissu
akaita makamu?
Heche Akajibu boss
Lissu ongeza moto🤣 wameanza kutoana maini ongeza moto
Na wanatoana kweli mainiTundu Lissu
akaita makamu?
Heche Akajibu boss
Lissu ongeza moto🤣 wameanza kutoana maini ongeza moto
Pumbavu ni Samia. Mfikishie huu ujumbe 🖕.Pumbavu, ulitaka waendelee kufuga wanaowahujumu? hao wanaofukuzwa wana makosa
Pumbavu ni wewe unaeshinda jf kuandika ujinga.Pumbavu ni Samia. Mfikishie huu ujumbe 🖕.
Unateseka ukiwa wapi kijanaNdio ujinga gani umeandika?
CCM wa siku hizi hawana akili kabisa.
Eti walishinda uchaguzi kwa 98% na kupata kura milioni 31 kati ya milioni 32 [jambo ambalo ni la uongo] zilizopigwa!
Hata mwaka haujapita, wameshaanza kufukuzana, kuvuana uanachama, na hata kutekana na kuuana.
Mimi sijawahi kuona wala kusikia mahali popote pale ambapo washindi wameshinda uchaguzi kwa kiwango hicho , kwa mandate kubwa kuwahi kutokea katika historia ya chaguzi duniani, halafu wanaishia kugombana ndani ya niezi michache tu tokea wajitangazie ushindi wao.
Washindi wa kiwango kama hicho cha kwao mtu ulitegemea wawe ni watu wenye furaha tele, wenye tabasamu na bashasha tele huku wakiendelea kutekeleza ilani ya chama chao.
Labda hawa wenzetu ni fantasists!
Ukweli ni kwamba sasa hivi hawaaminiki tena kwa wananchi.
Wapo wapo tu kama kuku aliyekatwa kichwa.
Otherwise, make it make sense.
Umewahi kuona wapi washindi wa 98% ambao huishia kugombana ndani ya miezi michache namna hiyo tokea huo ushindi wao mkubwa……
Lissu alisema wakimalizana na sisi watarudiana wao kwa waoNa wanatoana kweli maini
Wezo na wabakajiCCM Chama cha magaidi
Watishe wajinga wenzako wewe takatakaPumbavu ni Samia. Mfikishie huu ujumbe 🖕.
Jana nilisema suala la Lissu litakuwa na mambo mengi. Na badoTundu Lissu
akaita makamu?
Heche Akajibu boss
Lissu ongeza moto🤣 wameanza kutoana maini ongeza moto
Pumbavu ni Samia.Pumbavu ni wewe unaeshinda jf kuandika ujinga.
Ushirika wa wachawi huwa haudumu mkuu kwa trend hii watamalizana wao kwa waoJana nilisema suala la Lissu litakuwa na mambo mengi. Na bado
Takataka ni Samia anayedhani kuongoza nchi ni sawa na kuwa mwimbaji wa Jahazi Modern Taarab.Watishe wajinga wenzako wewe takataka
Ni moto, hatari, fireLissu ongeza moto🤣 wameanza kutoana maini ongeza moto