wapi hapa?

Maswi

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
932
211
1.JPG




hilo jengo lefu kuliko yote hapo ni wapi?
 
NI DSM hilo jengo refu ni BENJAMIN MKAPA WALIOKUWA WANAGOMBEA NSSF NA TPDC,ILA ILIYEKUWA ANAPIGA PICHA SIJUI ALIPIGIA WAPI,SEHEMU MOJA WAPO INAWEZEKANA ILIPIGWA TOKA UDSM.
hajapigwa toka UDSM, tafakari zaidi.
 
ni dar jengo hilo lefu liko karibu na nyuma ya chuo UDSM,jengo linaitwa mawasiliano tower.
 
town hapa lile jengo linajengwa karibia viwanja vya gymkhana mpigaji alipiga tokea WAMA ofisi za mwl Salma Kikwete -1st lady!
 
Hapo ni Igunga iliyotawaliwa na muirani kwa miaka 15, kafanya makubwa kupeleka maendeleo huko na hilo jengo refu ni Ofisi ya CCM Igunga.
 
ngoja tusaidiane, hilo picha niliipiga toka uwanja wa taifa, nao watu unawaona hapo ndiyo wanaingia uwanjani. na hapo chini kidogo kwenye hiyo miti ni DUCE, ila sielewi hilo jengo lefu ni la wapi?, nazani mpaka hapo wataalam wa mji mtakuwa mmepajua. naombeni msaada.
 
igunga gani hiyo? ni hapa hapa DAR.

We siyo mtanzania nini, hujui Igunga ilipo. CCM ilipeleka mabilioni kwenda kukomboa jimbo. Kama kungekuwa na nyumba za tembe wangetumia nguvu kubwa vile mpaka wakauwa watu? Hiyo ni Igunga ndugu Maswi siyo Dar.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom