CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
asante kwa taarifa dada Remmy but co kila kitu kitangazwe kwny magazeti ya udaku ndo tujue, kuna vingine huanzia humuhumu jf ndo vikaenda kwenye mazageti .... oh kumbe ni magazeti, hapo nililkuwa nimemkumbuka dogo mmoja hivi ye alikuwa ana shindwa kutamka magazeti ana mazageti!Magazeti ya udaku bado hayajatangaza.
woraautTwende kesho taifa tukaenjoy.
Mwaka huu itafanyika mfaranyaki songea kabla ya kuhamia mabatini mlango mmoja mwanza na baadae mnadani dodoma.
e e e e e e e e...naupendaga kama ndio huo...njoo tuucheze.mchezo wa kikubwa
Mwaka huu itafanyika mfaranyaki songea kabla ya kuhamia mabatini mlango mmoja mwanza na baadae mnadani dodoma.
e e e e e e e e...naupendaga kama ndio huo...njoo tuucheze.
Kisha Mchambawima Unguja!
Utakuwepo?
kumbe fiesta bado ipo?