Mkuu jaribu kuwaona stamico(state mining cooperation)Wakuu Salama!!
Wapi/ Eneo gani kwa Dar wanapima madini na kujua ni ya aina gani!!?
United nations road, Offices zao zipo opposite na shule ya ist kama sikosei.nipe location yao bosi
African Minerals and Geosciences Centre (AMGC) wapo Kunduchi.Wakuu Salama!!
Wapi/ Eneo gani kwa dar wanapima madini na kujua ni ya aina gani!!?
Laboratory Services |
|
African Minerals and Geosciences Centre (AMGC) wapo Kunduchi.
African Minerals and Geosciences Centre 022 265 0347 https://maps.app.goo.gl/Gc2hLnRvaZ16Y2ho6
Laboratory Services
- Analysis of Precious & base Metals
- Water Analysis
- Wet Chemistry
- Mineralogical and Petrological
- Gemmological and Gem cutting
- Sample Preparation and Ore Testing
- Industrial Minerals Applications & Ceramics
Shukrani nitaenda hapoAfrican Minerals and Geosciences Centre (AMGC) wapo Kunduchi.
African Minerals and Geosciences Centre 022 265 0347 https://maps.app.goo.gl/Gc2hLnRvaZ16Y2ho6
Laboratory Services
- Analysis of Precious & base Metals
- Water Analysis
- Wet Chemistry
- Mineralogical and Petrological
- Gemmological and Gem cutting
- Sample Preparation and Ore Testing
- Industrial Minerals Applications & Ceramics
Hiko kwingine huko usi ende kindezi ndezi, ukienda ovyo ovyo unadakwa na kuwekwa chini ya ulinzi! unaulizwa ulizwa hayo madini umeya toa wapi, unaya milikije, una kibali/leseni, umeyalipia kodi, ….. mwishoni unaaamua kutoka berenge…..!!!!!Shukrani nitaenda hapo
mkuu naitaji sehemu ambayo wanaweza pima na kuniambia nia aina gani ya madini! Sehemu wanayopima sio kwenda kuuza!! maana imetoka shambani kwa mtu!! Nataka kujua ni aina gani then nione way forwad..Hiko kwingine huko usi ende kindezi ndezi, ukienda ovyo ovyo unadakwa na kuwekwa chini ya ulinzi! unaulizwa ulizwa hayo madini umeya toa wapi, unaya milikije, una kibali/leseni, umeyalipia kodi, ….. mwishoni unaaamua kutoka berenge…..!!!!!
Nilitaka kumwambia jambo hili. Unaweza kuishia Segerea bure. Bora aende kwa wahindi Kisutu wakamwangalizie ila aende na kiasi kidogo sana ili hata wakimzingua mzigo mkubwa unakuwa huko chimboHiko kwingine huko usi ende kindezi ndezi, ukienda ovyo ovyo unadakwa na kuwekwa chini ya ulinzi! unaulizwa ulizwa hayo madini umeya toa wapi, unaya milikije, una kibali/leseni, umeyalipia kodi, ….. mwishoni unaaamua kutoka berenge…..!!!!!
kwani hui amini JF? fanya hivi, piga picha hayo madini ( tumia camera yenye resolution nzuri ) lete humu jamvini…..mkuu naitaji sehemu ambayo wanaweza pima na kuniambia nia aina gani ya madini! Sehemu wanayopima sio kwenda kuuza!! maana imetoka shambani kwa mtu!! Nataka kujua ni aina gani then nione way forwad..
Ni jiwe moja tu ninalo...
Kama una ushauri nitaupokea pia
kwangu haiwezi tokea bosi! Ninaingia ofisi yoyote ile! Nimeuliza sehem wanayo identify hayo mengine niachieni..I will handle themNilitaka kumwambia jambo hili. Unaweza kuishia Segerea bure. Bora aende kwa wahindi Kisutu wakamwangalizie ila aende na kiasi kidogo sana ili hata wakimzingua mzigo mkubwa unakuwa huko chimbo
Shukran bosi nitaenda huko! topic closed.!!African Minerals and Geosciences Centre (AMGC) wapo Kunduchi.
African Minerals and Geosciences Centre 022 265 0347 https://maps.app.goo.gl/Gc2hLnRvaZ16Y2ho6
Laboratory Services
- Analysis of Precious & base Metals
- Water Analysis
- Wet Chemistry
- Mineralogical and Petrological
- Gemmological and Gem cutting
- Sample Preparation and Ore Testing
- Industrial Minerals Applications & Ceramics
Ni mkoa gani umepata hilo jiwe halafu istoshe mawe mengi yapo hayana thamani...ukiona sehemu wachimbaji wamehamia kwa ghafla na kuchimba jua kuna kitumkuu naitaji sehemu ambayo wanaweza pima na kuniambia nia aina gani ya madini! Sehemu wanayopima sio kwenda kuuza!! maana imetoka shambani kwa mtu!! Nataka kujua ni aina gani then nione way forwad..
Ni jiwe moja tu ninalo...
Kama una ushauri nitaupokea pia