Wapi Dena Amsi??

Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,978
5,025
Huyu dada/mamdogo nilikuwa napenda sana kusoma ushauri wake hasa kwenye jukwaa hili la mmu. Ni miezi kadhaa imepita sijaona post/ushauri wake humu jukwaani. Jamani nimemmiss huyu mamdogo au Israel kampitia nini?
 
I was asking myself the same question.......plus...Lizzy Afro and Mentor....really missing u guys......
 
tangu afiwe na bibi yake mpendwa tegeta haonekani sana. Inaonekana kuna mambo ya kifamilia yanambana.
 
Wewe nawe,sasa hiyo israili kamchukua imetoka wapi? Hembu cheki uzi wangu "Nimewamiss.."ni juzi tu kajimwaga huko,yupo tele!
 
Wewe nawe,sasa hiyo israili kamchukua imetoka wapi? Hembu cheki uzi wangu "Nimewamiss.."ni juzi tu kajimwaga huko,yupo tele!
mmmh! mwe! hatimaye Israel kampitia kweli! pumzika kwa amani mpendwa wetu
 
DENA AMSI AMESHATANGULIA MBELE YA HAKI MAY DEAR GOD REST HER SOUL. IN PEACE
 
Back
Top Bottom