Nipo likizo mkuu ningekufanyia mimi mwenyewe chap
Hapo ni kwenda ku deal na
Volume
Viscocity
Sperm Motility
Sperm Count
Sperm morphology
Kama vyote hivyo vitakua vipo normal basi endelea kumpiga mashuti kama kawada huku ukimadili angle tu
Kupitia njia ya kujichukulia sheria mkononiHizo sempo wanachukua vipi?
Manina ha ha🤣🤣🤣🤣Katest kwa house girl. Ukishindwa hapo basi utakuwa una shida.
Kupitia njia ya kujichukulia sheria mkononi