Wapi dar wanafanya sperm analysis

Wapi dar wanafanya sperm analysis

Nipo likizo mkuu ningekufanyia mimi mwenyewe chap

Hapo ni kwenda ku deal na

Volume
Viscocity
Sperm Motility
Sperm Count
Sperm morphology

Kama vyote hivyo vitakua vipo normal basi endelea kumpiga mashuti kama kawada huku ukimadili angle tu
Bila kusahau liquidification
 
Nipo likizo mkuu ningekufanyia mimi mwenyewe chap

Hapo ni kwenda ku deal na

Volume
Viscocity
Sperm Motility
Sperm Count
Sperm morphology

Kama vyote hivyo vitakua vipo normal basi endelea kumpiga mashuti kama kawada huku ukimadili angle tu

Sorry kwa kutoka nje mada kiongozi, hivi mwanamke kama hapati hedhi kuna means yoyote ya kumfanya akashika ujauzito mkuu...?
 
Nendeni hospitali kwa specialist [emoji1860]

Huyo niliyemuuliza hapo juu yaonesha ni specialist ndio maana nikamuuliza ndugu. Natumai tunaweza kupata jibu hapa kabla ya kupoteza muda na pesa kuzunguka huku na kule mkuu. Ahsante.
 
Nina hitaji kufanya kipimo tajwa hapo juu ila sjajua nianzie wapi kwasasa niko dar

Karbu madaktar kwa msaada
Umri wako?umeoa?unaishi na mkeo,
Pengine ni hofu tu kula vizuri oeleka moto
 
Nipo likizo mkuu ningekufanyia mimi mwenyewe chap

Hapo ni kwenda ku deal na

Volume
Viscocity
Sperm Motility
Sperm Count
Sperm morphology

Kama vyote hivyo vitakua vipo normal basi endelea kumpiga mashuti kama kawada huku ukimadili angle tu

mkuu wewe ni daktari?
 
Back
Top Bottom