Wapi dar es salaam

nimetafuta JF mchumba imeshindikana ssa naombeni mniambie kwa Dar maeneo Gan ndo nntapata watu wanao jiheshim achana nawale wezi!niko serios Jaman!kazi zangu zinanifanya nakua bizze kupita kiasi nasikutan na watu.

Sasa km uko busy unataka mwanamke wa nn? Ili iweje na hata km ukimpata hautakua na muda wa kukaa nae kwan uko busy. Yt tisa kumi mwanamke wa kwel{wife material} hatafutwi kwa styl hyo fikiria kaka
 
ha haaa mtoa mada,hukua serious,mbona tumejaa tele@MZABZAB,acha kutubania,,km wee msanii sio wote bana,teh teh
 
Back
Top Bottom