Wapi dar es salaam

go out,mit pipo,talk to pipo!!!kuwa mtu wa ibada sana na pia tembelea vijijini,tatizo umeng'ang'ania dar tu bwana mdogo
 
poLE SANA MZEE! sijajua dini yako, ila kama wewe ni mkatoliki nakushauli kujiunga na kikundi kiitwacho, NEO KATEKUMINATO. humo kuna wasichana wengi sana wazuri na wanaojituma kimaisha. Nenda kanisa la Upanga, oyetserbay, mwenge, na tegeta.

kama sio mkatoliki basi tafuta rafiki kijamu jamu hivi katika chuo cha ualimu chang'ombe pale hukosi kung'o msichana mzuri. sehemu nyingine ambazo wanwake wa kujituma utawapata kilaini, ni NBAA evening classes. Katika madarasa ya masomo ya jioni ya NBAA kuna wasichana wazuri sana na wenye mwelekeo mkubwa wa kimaisha. wewe jiingize humo halafu wabane katika group study.

mwisho ndugu yangu , vizia katika misiba ya makabila yenu na ya watani wenu. humo namo utazoa kwa wingi tuu.

kila la kheri mzee mwezangu

Duuh, wewe ni noma.
 
Hahahaaa.... Wacha tuu niruke ruke, wee si umenizingua!!

Umetupanga foleni kuanzia Posta mpaka Bgmoyo..! Yamenishinda..!!

We ulijiweka mwenyewe kwenye foleni
ulipewa card ya staff upite tu bila foleni ukakataa... lol
 
Hahahaaaaa....... Ila huku nakoenda sijui kama nitakuwa na furaha kama niliyokuwa nayo huko!!

Yakinishinda nitarudi, nitaipanga hiyo foleni hata ikiwa imeshafika Tanga..!!
 
na kwa mujibu wa takwimu zilizopo baada ya kufanyiwa interview juzi lol!nahisi ipo Kaengesa
 
Bi shost nilijua hapa lazima utie neno..! Hahahaaaa..... Mpambe weyeeee!!

Aaaah.... Nitafanyaje nami nimedata kwake... Nitaipanga hivyo hivyo hiyo foleni, ipo siku nitafanikiwa tuu.. !!
 
poLE SANA MZEE! sijajua dini yako, ila kama wewe ni mkatoliki nakushauli kujiunga na kikundi kiitwacho, NEO KATEKUMINATO. humo kuna wasichana wengi sana wazuri na wanaojituma kimaisha. Nenda kanisa la Upanga, oyetserbay, mwenge, na tegeta.

kama sio mkatoliki basi tafuta rafiki kijamu jamu hivi katika chuo cha ualimu chang'ombe pale hukosi kung'o msichana mzuri. sehemu nyingine ambazo wanwake wa kujituma utawapata kilaini, ni NBAA evening classes. Katika madarasa ya masomo ya jioni ya NBAA kuna wasichana wazuri sana na wenye mwelekeo mkubwa wa kimaisha. wewe jiingize humo halafu wabane katika group study.

mwisho ndugu yangu , vizia katika misiba ya makabila yenu na ya watani wenu. humo namo utazoa kwa wingi tuu.

kila la kheri mzee mwezangu

khaaaa hizi mbinu kabambe
 
Bi shost nilijua hapa lazima utie neno..! Hahahaaaa..... Mpambe weyeeee!!

Aaaah.... Nitafanyaje nami nimedata kwake... Nitaipanga hivyo hivyo hiyo foleni, ipo siku nitafanikiwa tuu.. !!

af hujui tu mi navokufagilia jinsi unavoweza kumput huyu mtu in his respective place!MAKAVU!MAKAVU!KAMA HIVI!ahahahahhahahahahahhaha chezeya kuambiwa live,na walahi waweza kumtia hatiani kwa style hii,manake amezoea zile za PM zile oh The Boss mimi oh unajua nini sijui!sasa hizi za makavu hivi ah!SI HABA!we toka kwenye foleni huko wala si mahala pako,u have all one needs not to be kept in a queue!
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaa.... Hakuna cha PM.. Kitu hapa hapa kila mtu ajue..!!

Siwezi kuidhulumu nafsi yangu... Full kujilipua tuuu!!

Na hivi umenipa moyo wa kutopanga foleni... Sasa itabidi unitafutie hiyo card ili niwahi wahi!!
 
kabisaaaa!akitaka autwange aumwage!
aule mbichi au auanike!
ahahhahahhahhahahhaha GO FOR IT GIRL!
sasa ukitaka akae chini kabisa mwambie akupe kadi ya staff mwenyewe!yani mwenywe approvide funguo!af tuone kama hatafungua mlango!ahahahhahhaha chezeya STOCKHOLM SYNDROME wewe!
 
Hahahaaaaa.... Na mpambe nimempata..!

Nishindwe mie tuu..!!

Ngoja nisiuweke usiku, nikamwambie kabisa anipe hiyo kadi mapemaaaaa.!!
 
We bana acha kuisingizia kazi eti ndo ukutani na watu,kama huna mavoko ya kupatia watoto we omba maujanja tu,mbona mko wengi tu wenye katatizo hako.
 
Mtoa mada unaweza kuweka wazi mbinu ulizotumia kutafuta wachumba hapa JF lakini ukakosa?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom