Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,576
- 60,974
Ukitoka huko unione
Hapa penyewe nipo unga sijui kama nitaimaliza hii mechi💤💤😴😴💤💤 💤💤😴😴😴😴Ukitoka huko unione
Aya toroka uje, tufanye ya kwetuHapa penyewe nipo unga sijui kama nitaimaliza hii mechi💤💤😴😴💤💤 💤💤😴😴😴😴
Mpaka saii Mobeto 2 Aziz 0Aya toroka uje, tufanye ya kwetu
hakuna namna, ngoja mimi nile kwa macho tuMpaka saii Mobeto 2 Aziz 0
Namba 8 zinapatikana hapo?Njoo Amell apa mwenge
Aya pambaneni na vilivyopoSudan Hotel, Tuko na wali wa Salma Jeuri😂
Koo langu linawasha washa sana mida hii, wapi kuna vaibu nzuri ya muziki, nyama choma, totozi na vinywaji murua vya kulainisha koo?
Nipeni chimbo wakuu, la kuburudika na kurusha rusha miguu, ndio 8 8 tunaianza hivyo; asiyelima na asile.
Tunawasaidia wenye viwanja/baa n.k kupata vipato, katika kuleta maendeleo kwa kila mmoja.Bado mshahara unawasha 😂😂
Ebu nipeleke mi sipajui?Nenda Samaki samaki au Kitambaa Cheupe
Bei elekezi hapo ni ngapi?Njoo hapa Savana Iringa hapa ,leo dada zake na baba (mishangazi) mlimaa.
Upo kijiji gani?Ebu nipeleke mi sipajui?
Hivyo hivyo kidogo kidogo, huwa haitoshi siku zote.Pesa yenyewe ya mawazo