Haya ! Labda Mbeya ! Labda Moshi ! Labda Mwanza ukweni ! Lakini Mtambuzi umefikiri nje ya kiwanja cha mpira kabla hujaingia mchezoni ! Ni kweli mwezi huu watapotea wengi. Watu wanakoenda hijja kwingi Netwk holaa. Labda Kongosho atatuambia alipo wako karibu nae sana.
Wapi bujibuji?????
Kongosho tujibu!!!