Wapi bibi yangu Faiza foxy

Mama alikuwa in Deep love with Vasco Dagama! Alikuwa anafaidika nao! Toke uishe hamu ya maisha naona iliisha nafsin mwake.
Pole mama Faiza

elewa kwanza
 
FaizaFoxy si alishakamatwa huko Uarabuni, nasikia yuko bongo karibia mwaka sasa anaangalia namna gani atarudi utumwani tena eti anasema hapendi raha ya kuishi Bongo kisa kazoea utumwa.
 
Kuna siku nilicheka sana
Kuna Mtu humu alidai kua Shekhe M s,mwanahistoria kama anavyoitwa ndo huyu bibi ama kweli jf ukiwa na mawazo ungia humu
 
Back
Top Bottom