Wapi anapatikana fundi wa Xbox?

Wapi anapatikana fundi wa Xbox?

Jongwe

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2008
Posts
1,040
Reaction score
666
Waungwana nina Xbox one ambayo kwasasa inatatizo. Tatizo lake ni ukibonyeza button ya power inakuwa on kwa sekunde chache, kisha inajizima kabla haija anza play. Naomba kujua wapi nawezapata fundi? Mafundi wote ninao wajua wamesema hapana hawawezi. Msaada tafadhari
 
Nicheki kwa 0672727316 kwa msaada
 
0659184116... Mpigie huyo anaitwa mr. Xbox... Yuko kigamboni.... Ni fundi mzur hatara sana
 
Back
Top Bottom