Wapi alipo Deo Kisandu?

Wapi alipo Deo Kisandu?

Mtemi chomoza basi watu wanakuhitaji.Nilikuwa sijatambua kwamba Mungu kukuumba ana makusudi yake kwa binadamu wenzako.Kama ulikuwa hujatambua hilo nakukick sasa njoo kuna wanaokuthamini kumbe.
 
Alikosa support katika kuanzisha chama. Alikuwa anatafuta wanachama watoe michango
 
Katika majina ya wale watatubwa kesibya Manji... jina moja karibia kama lake.. nikamkumbuka kutomsoma humu kwa mawiki sasa.
 
Back
Top Bottom