Wapi Afrodenz and Uporoto?

Duhhhh kumbe natafutwa ..
Mi nipoo maeneo maeneo tu..

Uporoto ndo kapotea jumla ..
Alienda kumsalimu Klorokwin mpaka
Sasa hatumuoni tena ..
 
I know..I know...
Nshaanza kumpotezea taratibu...ila na wewe bana!!!

That's ma girl, thank you ..
Bora yule yule wa siku zote ..
na wasi wasi sana na yule wa sokoni ..
Sana sana nyongeza za nyanya tu na pilipili hoho .. rudi zako mwaya
 
That's ma girl, thank you ..
Bora yule yule wa siku zote ..
na wasi wasi sana na yule wa sokoni ..
Sana sana nyongeza za nyanya tu na pilipili hoho .. rudi zako mwaya
Hahahaha...we hujatulia wewe!!

Ila sidhani kama ana tatizo kiviiile...sema basi tu!!
 
Back
Top Bottom