Wapenzi wangu huwa wananiogopa

Wapenzi wangu huwa wananiogopa

katusyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
1,455
Reaction score
434
Imekuwa kawaida sasa kila nikimtongoza mwanamke anaanza kuniogapa, unakuta kabla sijamtongoza tulikuwa na mazoea mazuri tu au hatukuwa na mazoea kabisa lakini nikimtongoza tu anaanza kuniogopa unakuta nikimwita kwanza anatoa shikamoo huku anatetemeka sasa mpaka kuja kunizoea inachukua mda mrefu sana sasa huwa hii hari siifurahii kwani nashindwa kuinjoi kwani anakuwa hayuko huru kutoa kilicho moyoni mwake.

Je? Hii ikoje?
 
Labda unapoanda mazingira ya kutongoza unapaka make up, baada ya hapo wakikuona wanakuta thura imedheeka wanapata shock.
 
Mkuu unatongoza vitoto vya primary nn??
 
sina uhakika na wasiwasi wenu kwasababu lingekwa ni swala la sura wasingekuwa wanadata na mimi kwasababu sijawai kuachwa katika historia yangu ya mapenzi na huwa nikiamua kuacha wanapata shida sana
 
tatizo swaga zako zakizee

kwenye swala la swaga hapa mwanangu usipime wangekuwa wanatoa tuzo mimi ningeshanyakua wanawake wenyewe hawa wa siku izi wanaswaga bas akishakupa namba ya sim bas
 
Labda unapoanda mazingira ya kutongoza unapaka make up, baada ya hapo wakikuona wanakuta thura imedheeka wanapata shock.

uzee bongo wazee ndio wanaochukua vimwana mpaka wanaovatek vijana kunahaja gani ya kujifanya kijana wakati wazee ndio wanaoliliwa? kama hauamini muulize mshumbushi
 
sina uhakika na wasiwasi wenu kwasababu lingekwa ni swala la sura wasingekuwa wanadata na mimi kwasababu sijawai kuachwa katika historia yangu ya mapenzi na huwa nikiamua kuacha wanapata shida sana

Si walianza kwa shida u think wataacha kiurahisi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom