Wapenzi wangu huwa wananiogopa

Wapenzi wangu huwa wananiogopa

uzee bongo wazee ndio wanaochukua vimwana mpaka wanaovatek vijana kunahaja gani ya kujifanya kijana wakati wazee ndio wanaoliliwa? kama hauamini muulize mshumbushi

Weee!!! Kuna tofauti kubwa kati ya mzee na kijana, wazee tunawahitaji kiuchumi tu, kwamba nikiteteleka kiuchumi nikimpigia sim ndani ni dakika katatua tatizo langu.

Vijana tunawahitaji kwa mengi, wanawake tunataka hata ukitoka na mtu wako
watu wageuze shingo waseme yap!!! Wanaendana.

Sio mambo haya:
 

Attachments

  • 1442490418467.jpg
    1442490418467.jpg
    20 KB · Views: 202
Khaaaa shame on you jitu zima acha watoto wasome.. Tafuta saizi yako

unafili mimi ndio mkubwa? hapana mimi mwenyewe ni taifa la leo ninachojali je? amevuka age 18 kwasababu nikisema nitafute asiesoma inamaana niende bar au wake za watu, alafu ukumbuke mapenzi hana size sio kiatu kwamba kitachomoka mguuni
 
Liangalie kiroho zaidi. Unaweza kuwa na spiritual wife aka jini mahaba ambae unapotaka kuingia kwenye mahusiano anaingilia kati. Hebu pitia kwenye maombi ucheki afya yako kiroho. Ni ushauri wa bure tu !!
 
Weee!!! Kuna tofauti kubwa kati ya mzee na kijana, wazee tunawahitaji kiuchumi tu, kwamba nikiteteleka kiuchumi nikimpigia sim ndani ni dakika katatua tatizo langu.

Vijana tunawahitaji kwa mengi, wanawake tunataka hata ukitoka na mtu wako
watu wageuze shingo waseme yap!!! Wanaendana.

Sio mambo haya:

bass mimi ni mmoja ya hao wanatamanika kuongozana na kwa mada yako ninapata jibu kuwa waliowengi nanaowatongoza huwa hawajiamini wakihisi mimi sio hazi yao, na nazani itakuwa ndio hivyo
 
au umekaa ki-CCM CCM?

hapo sasa ndugu umevuka mstari tena unitake radhi ebu rejea post zangu kwenye jukwaa la siasa ndipo utajua ni kiasi gani mimi na ccm sina ni tofaut kabisa
 
Liangalie kiroho zaidi. Unaweza kuwa na spiritual wife aka jini mahaba ambae unapotaka kuingia kwenye mahusiano anaingilia kati. Hebu pitia kwenye maombi ucheki afya yako kiroho. Ni ushauri wa bure tu !!

ushauri wako ni mzuri sana sema tu haujaelewa mada si kwamba wananikataa yani ni vile mtu unaongea nae anakuwa hayuko hulu kuongea nawewe hata vitu vyenyewe inatakiwa abishe yeye anakubali theni baada ya mda akishanizoea ndipo anakuwa huru na mimi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom