Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
- Thread starter
- #21
Pole sana mwitasaUsijaribu. Hiyo itakuwa ticket ya kuachana kama utamkopesha hela kubwa. Niliwahi kumkopesha wakwangu million mbili hakunirudishia na nilivyoona hana dalili za kunilipa nikaamua kuvunja mahusiano naye nikamtishia kumpeleka mahakamani.
kwa jeuri akanijibu kuwa niende kwa kuwa hatukuandikishana wala hakuwepo shahidi nikabaki naugulia maumivu pesa zimeenda na penzi limeota mbawa.
Hadi sasa ni mwaka wa tano tukikutana hakuna Cha salamu