Habari za muda huu wana JF
Kama kichwa cha habari kinavosomeka,
Kwa ndugu,jamaa na marafiki kukopeshana ni jambo la kawaida sana ktk jamii zetu ili kuweza kuendesha maisha yetu.
Je
1 Hata watu ambao wapo ktk mahusiano ya kimapenzi,iwe ni wanandoa au ambao hawajafunga ndoa nao wanakopeshana?
2 Italeta madhara gani ktkt mahusiano yao?
Mchango wenu ni muhimu sana pamoja na ushauri pia
Vya bure watu hawavichukuli serious so yote itakuja kutegemea mazingira fulani ambayo kwa kila mtu huwa ni unique. Note. What for and the how's and the end results ...Yote inategemea mazingira :mnaweza kukopeshana tena swala la hela ni muhimu kuwa serious. Mfano mmeweka fungu kwa malengo pamoja labda kununua kiwanja. Lakini haijatimia na mmoja ameona fursa fulani na anahitaji mtaji. Why not. Inaweka uwajibikaji .
Lakini pia kuna wadada wasanii. Kila ukimpa hela kwa jambo la biashara anakula. Then unaweza mwekea aina hii hata kufanya akope kwa ndugu ykao hata kama hela yako. Ye asijue ili aweze kuwa serious. Lakini msisahau kuwa na maswali magumu juu ya hiyo mipango yake.
Vya bure watu hawavichukuli serious so yote itakuja kutegemea mazingira fulani ambayo kwa kila mtu huwa ni unique. Note. What for and the how's and the end results ...
BravoKutegemeana na mazingira mnaweza kukopeshana, hasa kwa kuzingatia hizo fedha zinaenda kufanya nini na aliyekupa(mwenza wako) kazitoa wapi!
Kwa mfano, kama nahitahi kuongezea mtaji kwa ajili ya biashara na mwenza wangu akanipa fedha kutoka kwenye biashara yake, ni dhahili lazima nirudishe!
Lakini tukumbuke kuwa pamoja na wenza kufanya shughuli/biashara tofauti mwisho wa siku wanachokipata kinatumika kwa manufaa ya familia