[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we kiboko hpo umemuweza haswa hta acpokulipa haiumi xana!!!Mi mpnz wangu nikimkopesha huwa arudishi ila nikikopa kwake ananidai namrudishia ila uwa namwangalia kwa jicho la tatu na nilishaamua simkopeshi zaidi ya elfu kumi
Mkuu umembahatisha tu anayejielewa, siku ukijaribu kwa mwingine, kwenye malipo itatokea 3rd WW!Mi nashangaa kila mtu anasema kusaidiana. Hivi mimi tu ndiye ninayeishi dunia nyingine au?
Mimi mpenzi wangu namkopesha sana tu na yeye analipa, anakuja na shida ya kufungua business anahitaji kiasi flani ninamkopa, baadaye anairudisha hela yote. Imetokea mara nyingi na hatuna tatizo kabisa, sasa hivi ana biashara anajitegemea hana hata shida ya kuniomba hela tena, na mkopo wote asharudisha. Utapata wapi mkopo mzuri namna hii usiokuja na riba yoyote wala timelimit.
Kusema umsaidie mtu ni kumfanya awe mvivu tu, mtu akikuomba pesa ukasema umpe yote kama msaada inamuongezea moyo wa kuitumia vibaya maana hamna consequences zozote zitakazompata hata ikiisha, sanasana atakuja kuomba nyingine alafu ujifanye bwege umpe kweli.
Honestly sipendi mwanamke anayeombaomba hela ale bata, huyo simalizi naye wiki. Anayekuja kuniomba hela tufanye biashara ili aweze kujitegemea huyo nampenda sana, mfano kuanzisha food business kama fastfood, kulima, kuimport products na kuuza, namtafutia hadi market kabisa, mwisho wa siku anajitengenezea pesa, na mimi ananitengenezea vilevile maana equity lazima iwepo, nakua ka investor.
Wanaweza kukopeshana lakini hawalipanagi!kwa hyo bora wasikopeshane!Habari za muda huu wana JF
Kama kichwa cha habari kinavosomeka,
Kwa ndugu,jamaa na marafiki kukopeshana ni jambo la kawaida sana ktk jamii zetu ili kuweza kuendesha maisha yetu.
Je
1 Hata watu ambao wapo ktk mahusiano ya kimapenzi,iwe ni wanandoa au ambao hawajafunga ndoa nao wanakopeshana?
2 Italeta madhara gani ktkt mahusiano yao?
Mchango wenu ni muhimu sana pamoja na ushauri pia
Hiyo ni sawa kabisa!Ninachofahamu ni kuwa wanasaidiana lakini kwa mfano mimi ni mweka hazina wa Women Forum kwa uaminifu ninaweza kumkopesha mpenzi wangu kwa makubaliano atazilipa muda gani. Ajue kua na mimi nimeaminiwa na pesa ya watu.
Yeye ni mpenzi wangu mimi sio mpenzi wa mkopo wanguHadi mpenzi anakopeshwa kwa riba
[emoji26] [emoji26] [emoji26] mimi wife aliniambia nikopeshe 4m nikampa lakini akilini nilikuwa najua what will happen and ikatokea kweli. In short wapenzi/wanandoa hawakopeshani wanapeana OK!Habari za muda huu wana JF
Kama kichwa cha habari kinavosomeka,
Kwa ndugu,jamaa na marafiki kukopeshana ni jambo la kawaida sana ktk jamii zetu ili kuweza kuendesha maisha yetu.
Je
1 Hata watu ambao wapo ktk mahusiano ya kimapenzi,iwe ni wanandoa au ambao hawajafunga ndoa nao wanakopeshana?
2 Italeta madhara gani ktkt mahusiano yao?
Mchango wenu ni muhimu sana pamoja na ushauri pia