ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,945
- 61,089
Acha nongwa,Huu nao utumwa hata kama wana pesa jamani.
Mbona kama mateso!!
Pesa bhaana!
Sawa nimeiacha.Acha nongwa,
utumwa kivipi wakati hiyo ndiyo furaha yao?
hujambo.Ngoja atokee mzee papa,sijui watakimbilia wapi..
Sijambo...nakuja niko njiani...hujambo.
njo pm kuna kitu natak kukupa
.........Hutaki mchezo mzee!me na mke wangu tutafunga ndoa benki ya dunia.
Mimi nitachagua sehemu tatu tuuWapenzi Thomas Mould na Sandra Hyde wa Florida Marekani, wamefunga ndoa yao chini ya bahari baada ya miaka minne ya kuwa pamoja.
Ukiambiwa uchague mahali pa kufungia ndoa kutokana na unachokipenda, utachagua wapi!?
View attachment 908829View attachment 908830View attachment 908832
Waganga Utawajua Kwa Maneno YaoπππMimi nitachagua sehemu tatu tuu
1. Makaburini
2. Kitandani
3. Mochwari
Hata wateja wao pia [emoji23][emoji23][emoji23]Waganga Utawajua Kwa Maneno Yaoπππ
Hapo no. 3 mtakuwa eneo gani la mortuary pale kwenye meza ya kuoshea au kwenye majokofu ?Mimi nitachagua sehemu tatu tuu
1. Makaburini
2. Kitandani
3. Mochwari
Mezani kama high tableHapo no. 3 mtakuwa eneo gani la mortuary pale kwenye meza ya kuoshea au kwenye majokofu ?
Masikini utaona kama wanateseka, ila kiuhalisia wewe ndio unateseka ila wao wana enjoy.Huu nao utumwa hata kama wana pesa jamani.
Mbona kama mateso!!
Pesa bhaana!
Ukifatilia Vizuri Nguvu Ya Mapenzi Watu Wanafanya Impossible Kuwa Possible