Wapenzi waamua kufunga ndoa chini ya maji

Wapenzi waamua kufunga ndoa chini ya maji

Wapenzi Thomas Mould na Sandra Hyde wa Florida Marekani, wamefunga ndoa yao chini ya bahari baada ya miaka minne ya kuwa pamoja.

Ukiambiwa uchague mahali pa kufungia ndoa kutokana na unachokipenda, utachagua wapi!?
View attachment 908829View attachment 908830View attachment 908832
Hii ni njia ya kutoruhusu watu wengi kushiriki harusi, mi nitafungia juu ya mnazi. Kila kitu kitafanyika huko huko(mpaka kula) juu ya mti,atayeshindwa kupanda mti basi imekula kwake
 
Na mimi nitafungia sayari ya Pluto au chini ya mlima Kilimanjaro
 
Wanaooana nawaelewa, ila sasa huyo mchungaji! Mchungaji gani anakubali kuzama majini akafungishe ndoa?
 
Na waishi huko huko tu maana wakija nchi kavu mbona tunawapa siku chache tu utasikia talaka
 
KWENYE MAPENZI KUNA PETE AINA TATU ILA PETE YA MWISHO HUWA HAITANGAZWI HADHARANI

1. ENGAGEMENT RING
View attachment 908926
2. WEDDING RING
View attachment 908927


3. SUFFERING


View attachment 908930
View attachment 908932
Tatizo watu wanaamini wakifanya harusi za mbwembwe na maisha yatakuwa hivyo hivyo hadi uzeeni....bila kujua ndani ya ndoa kunakuwa na changamoto mbalimbali...ujobless,kuchapiwa,kuchokana,kudharauliana n.k...bora uanze vibaya umalize vizuri kuliko uanze vizuri umalize vibaya.
 
Back
Top Bottom