Alimsukuma Benjamin kwenye kona jamaa na yeye akaamua kumpiga panapo uma 😂😂😂Write your reply...
ben leo karudisha asthma ya lincoln! haha
ben leo kanikosha sana hakuna anaemchukia tena wakina sibiya wamemalizana na msamaha wameomba!
ila walinichekesha sana walivokua wanachek press ya ben kwenye tv yao chogo
Uzuri hii tamthilia popote utakapoanzia channel inakamata.Nimepitwa kwa kweli two years cjui nianzie wapi
Nini kitajiri baada ya Ben kujiuzuru ?
Bado wapo sema wanachungulia mara moja moja!!Wana umeisusa hii thread kama mlivyomsusa Yohana.
Lawama zote kwa John
Leo baada ya kutoka nyumba ya ibada. Nikasema ni chill maskani. Nicheki marudio ya Isidingo. Nikaishia kuona machenga chenga tu utafikiri waliambiwa tunahitaji chenga za kupikia vitumbua.Bado wapo sema wanachungulia mara moja moja!!
1. Wale wafanyakazi wa SG watalipwa kama Ben alivyoahidi ?Ntando anakamata mikoba
Tangu mzee wetu atutoke naona menejiment haipo sawaITV sijui huwa wanafanya kusudi tu.
Hamna ndio wapo hivyo hivyo toka zamani.Tangu mzee wetu atutoke naona menejiment haipo sawa
Kwa Isidingo ya Sasa hapo washiriki kama 10 wameshatoka na waliobaki at least 5. Mambo ni mengi sana ila mda ni mchache.Kwetu sisi wafuatiliaji wa tamthilia hii maarufu sana, naamini toka Enzi hizo ikianza wengi tumekua tukiingia na kutoka lakini mwisho wa siku bado tunapata ule utamu wake.
Basi tutumieni hili jukwaa kupashana yanayojiri in case mmoja wetu amepitwa siku hiyo.
View attachment 529420