Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,754
- 7,536
Mmm! Hii Isidingo inakoelekea sasa sijui. Huyu Nina ni kwamba anataka kumuua Nikiwe au kumfanya awe taahira? Huyu sister du ana roho mbaya sana!
Oohoo nimekuelewa kipenziMwenzangu dstv haina ITV. Kusema nitumie mtandao ntakua nadanganya. Ni sawa na kutembea gizani bila tochi
Unatumia decoder ipi au cable TV?Mie naangalia ya SABC 3 FREE sasa ipo isidingo 21 episode 124
Kuna kitu kinaitwa android Tv box au ukiwa na android tv unamaliza mchezo.Unatumia decoder ipi au cable TV?
Kuna kitu kinaitwa android Tv box au ukiwa na android tv unamaliza mchezo.
Mambo ya dstv nshatupa kule.
Abeeee
Mmhh nilikua najuaga numbisa ni mwanaume
Hii tamthilia yenu itaisha lini.yaani tangu nipo mdogo mpaka leo.bado ipo.mimi imenishinda kuangalia
Haswa kule jf photos vile vitukoaiseee
Haswa kule jf photos vile vituko
Yah nilijuaga hivyokule niliona wakaka wametawala nikaamua nami nibadili ka upepo kumbe mlidhani ni ME
Yah nilijuaga hivyo
Ila rudi bhn tumemiss kuvunjika mbavu
Alokwambia tunataka iiishe ni nani? Kama imekushinda Siri za familia ipo kwa ajili yakoHii tamthilia yenu itaisha lini.yaani tangu nipo mdogo mpaka leo.bado ipo.mimi imenishinda kuangalia
Alokwambia tunataka iiishe ni nani? Kama imekushinda Siri za familia ipo kwa ajili yako
Achana nayo. Fanya mishe nyingine. Sisi tutaendelea kuangalia.Hii tamthilia yenu itaisha lini.yaani tangu nipo mdogo mpaka leo.bado ipo.mimi imenishinda kuangalia
Achana nayo. Fanya mishe nyingine. Sisi tutaendelea kuangalia.
Wewe utazaliwa nyani. Hutaiona tenaUtakufa utaiacha
Wewe utazaliwa nyani. Hutaiona tena
Fascinating indeedFascinating