Wapenzi wa tamthilia ya Isidingo


Bradha

Bradha

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Messages
2,581
Likes
6,929
Points
280
Bradha

Bradha

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2017
2,581 6,929 280
Hapana
Sibiya alikuwa anaongea na mkewe waondoke pale walipokuwa kuna sehemu ipo salama
Mkewe alikuwa anabisha mwishowe akakubali kuondoka
Ndio imekuwa nafuu
Ndio maana watu wa nina wamewakosa
Exactly, wasingehama wangekamatwa ...
 
Callme Sally

Callme Sally

Senior Member
Joined
Apr 4, 2017
Messages
172
Likes
158
Points
60
Callme Sally

Callme Sally

Senior Member
Joined Apr 4, 2017
172 158 60
Ndio nn kutufanyia hivi mama umeamua kusepa na uzi 🤧🤧
 
M

Msengapavi

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2008
Messages
6,534
Likes
4,753
Points
280
M

Msengapavi

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2008
6,534 4,753 280
Mmm! Hii Isidingo inakoelekea sasa sijui. Huyu Nina ni kwamba anataka kumuua Nikiwe au kumfanya awe taahira? Huyu sister du ana roho mbaya sana!
 
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Messages
14,670
Likes
12,433
Points
280
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2015
14,670 12,433 280
Hii tamthilia yenu itaisha lini.yaani tangu nipo mdogo mpaka leo.bado ipo.mimi imenishinda kuangalia
 

Forum statistics

Threads 1,235,634
Members 474,678
Posts 29,229,274