Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Friday

Nina anamwambia nikiwe kuwa gabr hajawahi mpenda ila anaigiza apate akitakacho. Gabr anajiwah na kumwambia nikiwe asimuamini nina,nina anatoa karatasi yenye namba za siri za safe ya katlego,na kumwambia alimpa gabr hizo code ili aibe jewels za katlego. Gabr anakana kuhusika,nikiwe anasema je kama mwizi yoyote anaweza kuiba password,nina anamwambia akaangalie kama jewels zote zipo,gabr anamwambia nikiwe asimuamini nina. Nikiwe anabaki kapigwa butwaa hajui amuamin nani

Sechaba anamgombeza lerato kwa kuendelea kumpa malazi wendy hapo nyumbani,sechaba anamtaka lerato amtoe wendy ndan ya nyumba yake,lerato anamwomba amvumilie mpaka apate pa kuishi na kwamba sio weupe wote wabaya ila sechaba hamuelewi na kusema hatak muona wendy labda awe anashinda saluni pekee

Gabr anamfukuza nina,nina anakataa kuondoka akisema mpaka amwambie nikiwe ukweli wote. Gabr anasema nina ana nia mbaya na uhusiano wao. Nikiwe anasema anataka kujua kila kitu,nina anamwambia jins gabr alivyokua anafanya dili za zama zama na papa g,kisha akaamua kumtongoza nikiwe ili awe karibu yake asishtukiwe dili zake haramu. Na kwamba baada ya nikiwe kumkubali na kumpandisha cheo,gabr aliendelea na utapeli wake,nikiwe anamgeukia gabr na kumuuliza kaam asemayo nina ni ukweli,gabr anasema nina muongo,nikiwe anamuuliza nina kwann anamuambia yote hayo,nina anasema linc kamtuma amwambie ukweli wa yote kabla hajahamishwa gerezan,nikiwe anasema linc hamtakii mema anataka akose raha,nina anamwambia nikiwe afumbue macho aukabili ukweli. Nikiwe anamtaka nina kuondoka,ila nina anamwambia aangalie ukweli mbele yake kwamba gabr kapata wapi pesa za kununua the rec na pia hio pete aliyoivaa gabr kapata wapi pesa ya kuinunua wajat mshahara wake haendan na thaman ya vyote hivyo. Nina anaondoka. Gabr anambebeleza nikiwe asimuamini nina. Nikiwe anaondoka kuelekea chumban

Nikiwe anaingia chumban kwa linc,gabr anamwambia amuamin maana yeye ndie alimwambia kuhusu tyson kufahamu sehemu ulipo mwili wa katlego. Nikiwe anafungua safe na kuikuta tupu,kisha anamgeukia gabr na kumwambia anakumbuka alimkuta humo chumban akamuuliza anafanya ninj. Na kumwambia alikua na nafas ya kumjulisha ukweli siku hio. Nikiwe anamlaumu gabr kwa kumdanganya

Nikiwe anarudi chumban kwake kakasirika na kumuuliza gabr kaam mengine aliyokua akisema nina ni ya ukweli,gabr anaomba msamaha na kutaka kujieleza ila nikiwe anamtupia nguo zake na kumtaka aondoke hapo penthouse,ila gabr anasema haondok mpaka waongee kama wakubwa,nikiwe anamwambia aondoke,gabr anaondoka humo chumbanchumban. Nikiwe anakaa kitandan full mawazo

Ni asubuhi,nikiwe yupo chumban kwake kakaa chini full mawazo huku akikumbuka maneno ya nina kumuonya kuhusu gabr na kumtaka aende kumtembelea linc ambambeleze ampe mamlaka makubwa ndani ya SG. Mara sms zinaingia anasoma na kukuta zimetoka kwa gabr akimuomba msamaha

Sechaba amelala chumban kwake,mara anaota akifukiwa na wale wazungu,anaamka na kupiga kelele,lerato anakuja na kumuuliza kama yupo ok kisha anampa dawa ameze,sechaba anakataa,lerato anamtaka warudi tena kwa dokta,sechaba analalamika waliomtendea hivyo popote walipo watakua wanasherehekea huku yeye anateseka.sechaba anamlaum lerato kwa kumuajiri mzungu wendy,pia anasema anaenda kujiunga na fujo za akina matlala na hajali kama atauliwa au la. Lerato anapata huzuni

Brad anamwambia barker kuwa wagen wamelalalmika,wengine wameamua kuhama hotel sababu ya vurugu hizo. Barker anasema kaongeza ulinzi kuwalinda walioamua kubaki na pia wale wabaguzi watawaacha kwa muda maana wakiwatoa nje muda huo watauliwa. Kisha anaita wafanyakaz wote wa duncan na kuwapongeza kwa kushinda mapito na kuwataka warudi kazin huku akitoa ofa za champagne kupelekwa kwa wateja wao waliobak hapo hotelin

Lerato anamkuta Wendy salun anamwambia kagombana na sechaba kuhusu suala lake hivyo inabidi wwndy atafute sehemu nyingine ya kuishi,wendy anakubali na kuomba apewe advance ya mshahara akapange chumba ila lerato anakataa na kusema ndo kwanza kaanza kazi hivyo haiwezekan,wendy anakubaliana na hali hio. Lerato anatoa simu na kuangalia simu yake anakuta sms akikumbushwa deni la kodi ambalo ni kubwa mno. Lerato anashtuka na kusema haiwezekan akadaiwa hela ndefu hivyo

Gabr anaenda ofisin kwa nina shebeen na kulalamika kwa kitendo cha nina kumharibia kwa nikiwe. Nina anamwambia kama penzi lake ni halisi na lenye upendo halitadondoka ila gabr anazid kulalamika na kumtishia nina,nina anamuitia gabr baunsa,baunsa anamtoa gabr ofisin kwa nina

Eddie anaongea na mkubwa wake wa kazi kwa simu kuhusu vurugu za akina matlala huku akisema wanafanyia kazi. Eddie anamwambia majola kuwa hawana uwezo wa kuwakamata wale waliomshambulia sechaba sababu sechaba kagoma kuwafungulia mashtaka,huku eddie akilalamika kwann hawaaminiw

Sechaba anamwambia matlala kuwa anajiunga na kikund chao cha fujo kuhakikisha hao wabaguzi wanashikishwa adabu na kwamba eddie kamtaka afungue kesi ila yeye sechaba hatafungua keai bali atamwonyesha barker kuwa hawamwogopi

Wendy yupo kanisan akipanga viti ili alale,mara anasikia watu wanakuja alipo anakimbia kujificha,wanaingia watu watatu,mbaba anawatuma wamama wawili wabebe mabox wayatoe humo. Wanaondoka bila kumuona wendy

Barker anaenda rum kwa wale jamaa wabaguzi,jamaa wanamshukuru kwa kuwalinda,barker anawaambia angejua mapema asingewapa nafasi hapo maana wao wabaguzi wanastahili kuwa jela. Na kuwataka usiku waondoke,jamaa wanauliza waende wapi na kwamba watafanyiwa kitu mbaya na wenye hasira,barker anawaambia wangefikiria kwanza kabla ya kumzika mtu akiwa hai na kuwaambia atawapa ulinzi na wakiropoka kwa mtu atawatafuta popote walipo awafundishe adabu. Barker anaondoka. Jamaa wanabaki na wasi wasi
Sijafurahishwa na Barker kuwalinda wale jamaa hotelini kwake!
 
Monday

Trela lerato anamshukuru wendy kwa jinsi anavyofanikisha ujuzi wa kucha

Gabr katimuliwa kulala chumban kwa nikiwe anaamua kulala chumba cha wagen ila napo pamefungwa.

Kgotha anashangaa nikiwe kutotokea kazin

Hendrik anamwonyesha matlala vifaa alivyokamata humo mgodin vinavyoashiria kuna biashara haramu huko

Brad anamwambia barker kuwa watu wamefunga njia wanawataka wale wabaguz la sivyo hotel itafungwa

Katika vurugu za kuziba barabara na kuwasha moto matairi polisi wanatokea na kumkamata sechaba,sechaba anapeleka selo

Matlala anaenda kwa lerato kumpa habar za sechaba kuwa selo.

**********

Baker na brad wanaongelea kuhusu sechaba kukamatwa,brad anaona haikua sahihi kwa sechaba kukamatwa wakati wabaguzi wakiachwa huru. Barker anasema hatafungua mashtaka dhidi ya sechaba ila yeye barker lazima alinde hotel yake. Barker anaahid sechaba ataachiwa huru muda si mrefu.

Kgotha yupo kwa rajesh kajiachia kwenye kochi paja nje nje,rajesh anatokea na kushtuka na kuomba radhi kwa kuona mapaja mubashara,kgotha anamwambia wala hana haja ya kuomba radhi maana hapo ni kwake na kgotha ndo kaingilia uhuru wake. Rajesh anamwambia asijali anakaribishwa muda wowote hasa kipind hicho duncan hapana utulivu. Mara simu ya kgotha inaita anaongea na mwanasheria wake ,kisha anamwambia rajesh kuwa tyson anataka na jumba la cape town au apewe asilimia 50 za nzinga ili aiachie nyumba. Kgotha anasema ataajiri wanasheria wengine

Morogwa analalamika kwa kitendo cha sechaba kukamatwa huku wabaguzi wakipewa malazi na barker. Matlala anasema cha muhimu wajipange sechaba apate dhamana. Morogwa anasema atakusanya watu siku ya kusikiliza dhamana waende wote,kisha anamuuliza matlala kama atatoa dhamana matlala anasema hana hela na kwamba ana wanawake wengi,kisha wanaona sechaba ni boss na ana hela hivyo atatoka tu. Matlala anamwambia morogwa kuhusu Hendrik kuingilia mambo yao. (Hendrik ni jamaa mlinzi wa HI)

Sechaba anarudi home baada ya kupata dhamana. Lerato analalamika kwa kitendo cha echaba kukamatwa. Matlala anaingia hapo na kumwambia sechaba kuwa asingeachiwa wangefanya fujo pia wanatakiwa kumfundisha adabu barker. Sechaba na matlala wanapanga kuendeleza mapambano hasa baada ya kugundua barker kawasidia wabaguzi kutoroka.lerato anawataka wasamehe ila wanakataa wazo lake

Nikiwe anaingia ofisin kwake na kukuta maua mezan,nikiwe anamwita secretary wake na kumtaka ayatoe hapo,ampelee nina na aandike note ya asante kwa yote

Nina akiwa shebeen ofisin anaongea na papa g kwa simu akijisifia kila kitu kipo shwar na kusema kawamiss sana. Anaingia jamaa na kumwambia kapata taarifa kuwa polisi wanaenda vamia sehemu yao ya kazi nina na jamaa wanaweka sawa vitu humo ofisin kisha wakiwa wanatoka morogwa anaingia na jamaa kashika maua,nina anauliza kama kuna mtu kafariki,morogwa anakataa,nina anasema wayaweke mezan kisha anaondoka.morogwa anamwambia jamaa ayaweke mezan kisha aondoke. Morogwa akiwa peke yake ofisin anaifungua kadi iliyokua kwenye maua hayo na kuisoma

Lerato anadondosha rangi na kuvunja chupa,wendy anamuuliza kama yupo poa,lerato ana wasi wasi kwa yote yanayoendelea juu ya sechaba,wendy anatoa wazo kua wakae na wasuluhishane. Ila lerato anasema haiwezekan wale watu walitaka kumuua mumewe. Wendy anaomba msamaha kwa aliyoyasema. Kisha anamwonyesha lerato picha za kucha,lerato anapata wazo la kuanzisha mafunzo ya urembaji kucha

Nikiwe anawaita akina matlala na kuwaonya kuhusu kutumia muda wa kazi kuwa nje kwenye vurugu zao dhidi ya wabaguzi,na kuwaambia wanakatwa mshahara.

Nikiwe anamalizia hasira zake kwa wafanyakazi waliokua chini ya skhu na kuwataka wachape kazi aliyowaagiza

Nina yupo na vijana wake katika ghala la zamdela,anawaambia vijana wahakikishe wanaficha mabox yaliyopo humo polisi wasiyaone,wakiwa katika harakat ya kuhamisha mabox hayo,eddie na majola wanatokea na kuyaona na kusema yatakua ni mabox yenye vitu vya gari la mizigo lililotekwa,eddie anamkamata nina na kumfunga pingu,nina anajitetea hayajui hayo mabox

Sedima anaenda ofisin kwa barker na kumwambia kuwa karithi nafasi ya baba yake(amefariki) ambaye alikua anampendelea barker hasa kwenye suala la umiliki wa ardhi isiyo yake. Barker anasema yeye alikua na deal na baba ake sedima sio sedima mwenyewe, Sedima anamtaka barker awe mpole kama anataka kujiweka mbali na matatizo

Gabr anaanda wine na mazaga zaga mezan huku kashika puto la sorry penthouse,nikiwe anaingia,gabr anaomba sorry na kusema yote aliyosema nina ni kwwli na kwamba alifanya vile kwa ajili yake. Nikiwe hataki kuikia zaid maneno yake na kumtaka aondoke,msichana wa kazi anatokea na kushuhudia gabr akishushuliwa,nikiwe anaondoka. Gabr anamfokea mhudumu na kumtaka asafishe hapo mezan aache umbea

Hendrik ana mgogoro na bint yake ambae ametoka shule akiwa kapaka make up

Nikiwe akiwa home alone full mawazo anaivua pete aliyovalishwa na gabr

Aunt yake sechaba anaenda home kwa sechaba ,lerato anamkaribisha. Aunt ana swaga za kujiona matawi. Ni mama ake binamu wa sechaba ofentse. Sechaba anaingia na haonyeshi kufurahishwa na ugeni huo
 
Shukran Numbisa,nasubiri ya jumanne maana sijaona ya jumatatu wala jumanne.
 
Back
Top Bottom