Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Thursday

Lerato anaongea kwa simu na matlala akiulizia kama amepata taarifa za sechaba,matlala anajibu hajapata. Lerato full huzuni

Wale wazungu wamemalizia kumfukia sechaba na kuondoka eneo la tukio. Jamaa mmoja anapita eneo alipofukiwa sechaba akitafuta miti shamba anasikia sauti na kuifatilia

Lerato akiwa home anaangalia nguo za sechaba huku akiomba arudi nyumban

Mdada aliyetoka jela anaamka eneo alilokua amelala huku kakaa kwenye kiti

Jamaa kawaita wenzie na kuanza kufukua eneo alilofukiwa sechaba

Lerato akiwa home mpweke anamuomba Mwenyezi Mungu amlinde sechaba alipo

Mdada mjela anafungua begi lake na kutoa notebook yenye namba za simu anaangalia na kuirudisha kwenye begi

Wakazi wakiendelea kumfukua sechaba akiwemo matlala anaewataka wawahi kumfukua na pia wasimuumize. Anawataka watumie mikono na wawe makini

Home lerato ana huzuni huku kakumbatia shati la sechaba

Mjela anainuka alipokaa na kuiba nguo zilizokua zimeanikwa kamban

Gabr anamakaratasi kama sticker,mhudumu anatenga msosi mezan,gabr anamgombeza,nikiwe anatokea na kumwambia mfanyakazi aende jikon. Gabr anamwambia nikiwe kuwa anataka kuibadilisha the rec. Nikiwe hafurahishwi na mpango huo

Gerezan,gabr anaenda mtembelea nina,nina anamtaka amtoe kwa dhamana kisha atamlipa. Gabr anakataa kujihusisha na mambo hayo anahisi nae ataunganishwa humo. Nina anamuuliza kama nikiwe anafahamu kuwa linc alitaka kutoroka gerezan. Gabr anasema mabosi wa gereza wanaficha maana itawasababishia aibu. Nina anauliza siri hio itakaa kwa muda gan. Nina anatumia nafasi hio kumtishia gabr kuwa siri ikifichuka nae ataumbuka na kuuza sura gazetin hivyo atafute pesa amtoe huko gerezan

Lerato akiongea kwa simu na mama yake akimweleza kuhusu kupotea kwa sechaba huku akianua nguo anagundua kuna nguo zimepotea na kushangaa

Kgotha akiwa anamalizia kuvaa viatu rajesh anatokea akiwa na suti yake ya kuvaa kwenye opera,rajesh anauliza kama na nikiwe atakuwepo kwwnye safar ,kgotha anakubali mara nikiwe anapiga simu na kusema gar lake limeharibika,kgotha anamwambia watamfata ili waemde pamoja,gabr hafurahii kusikia nikiwe atafatwa na akina kgotha na kumwambia angejua gar kuharibika ni ishara mbaya,nikiwe anakubaliana nae na kusema atamtumia kgotha sms kumjulisha hataenda nao

Morogwa akihudumia wateja,anamfata mdada aliyetoka jela mezan na kumuuliza atahitaji kinywaj gan ila mdada anamjibu haitaji kinywa huku akiinuka na kusema alikua anaangalia palivyo. Morogwa anamuuliza kama ni mpelelezi au polis. Mdada anatoa pete akisema anataka kuiuza ni gold,morogwa anamtaka aende duncan,mjela anajitambulisha kwa jina la wwndy huku akimshawishi morogwa kuhusu pete aliyonayo. Morogwa anakubaliana na bei akitaja pesa na bia na kuipata pete

Kgotha na rajesh wanaenda penthouse kumpitia nikiwe,nikiwe anauliza kama sms yake haikuwafikia. Kgotha anasema aliipata na kuipuuzia maana sababu haina mashiko. Gabr anasema nikiwe haendi,wao waende wakainjoi. Kgotha anafanikiwa kumshawishi nikiwe,nikiwe anaenda kujiandaa waondoke,rajwsh anasema hawez kwenda kapata muito muhimu,kgotha anamkubalia,rajesh anaondoka. Kgotha anamshushua gabr kwa mchezo aliocheza kisingizio gar

Linc yupo selo askar wa kiume anamsimamia,linc anampa kitu na kumtaka akampe nina,askar anakataa,linc anamtishia atawaambia polisi kuwa alimsaidia kutoroka,askar anakubali na kuweka mfukon

Lerato anaongea na simu hukh kapanic kwa swchaba kupotea,mara jamaa wanampeleka sechaba humo salun,lerato aanulizia kilichotokea,jamaa wanamwambia walimkuta kazikwa huko alipokwenda

Eddie anampeleka nina selo akimwambia ndo nyumba yake mpya hio. Nina anamlaumu eddie kwa kusababisha akanyimwa dhamana. Eddie anaondoka,anatokea askar na kumkabidhi nina kitu,nina anaangalia na kukuta ni simu linc kapicha video call na kumpa ofa ya kumtoa nje ikiwa atamfanyia kitu kimoja

Gabr yupo penthouse,nikiwe anaingia na kumuuliza kamuitia nini na kwamba alikua tayari keshafika Johannesburg. Gabr anamwambia akae na amsikilize yeye badala ya wadaku. Gabr anamwambia kuwa nina yupo jela sababu alikua anamtorosha linc jela.pia anamwambia lic karudishwa jela na nina kanyimwa dhamana. Nikiwe anasema anaenda jela kumuuliza linc sababu ya kufanya hivyo ila gabr anamkataza na kumwambia bwana jela wanafanya siri tukio hilo. Nikiwe anamlaumu linc

Sechaba anavua nguo huku akisikilizia maumivu makali na kwenda bafuni kuoga
Numbisa tunaomba ya leo mamiii

Itv naona vyuma vmekaza wanarudia ya jana
 
Friday

Lerato na sechaba wanaingia ndani wakitokea hosp huku lerato akisema ni vuzir sechaba kapata muda wa kupumzika. Lerato anampa sechaba dawa na kumwambia baadae wataenda kuripoti polisi. Mlango unagongwa,sechaba ana hali ya maumivu na hasira anamtaka lerato akafungue mlango,anaingia jamaa aliyemwokoa sechaba kule alipofukiwa,swchaba anamkumbatia huku akimshukuru

Gabr anamtengea breakfast nikiwe kitandan ila nikiwe hana mudi bali ana huzuni familia yake inaaibika kwa mara nyingine. Huku akimlaumu linc na kuwa na wasi wasi kifungo kuongezwa. Kisha anasema hapo kapata mwanga wa nina kupata hela za kununua shares. Gabr anapata wasi wasi na kumwambia nikiwe inabidi aende nje kupata afueni au aende kwenye opera kama alivyopanga.nikiwe anasema itakua safi huku akiwa na wasi wasi wa kuchekwa na watu

Morogwa anawataka wafanyakazi wenzie shebeen wafanye kazi kwa bidii huku wakimsubiria nina.mmoja anauliza ina maana nina atakua jela kwa kipind kirefu,matlala anatokea na kushangaa kusikia nina yupo jela. Morogwa anawakataza kupiga soga kuhusu nina kuwa jela. Matlala anamuuliza kama ni kweli,morogwa anasema yeye kaambiwa na jamaa mmoja kuwa waiangalie vizuri biashara hivyo akajua nina kakamatwa. Matlala anasema labda nina kaua au ni kuhusu obakeng na Tanzania, morogwa anamwonya matlala asijihusishe na mambo yasiyomhusu.matlala anamuuliza kama nina hatarudi so morogwa ataichukua shebeen,morogwa anasema papa g atarud

Sechaba kalala kitandan mara anashtuka na kupiga kelele,lerato anaingia na kumuuliza kama yupo sawa,sechaba anasema kaota ndoto ikamtisha. Lerato anamwambia atakua sawa. Sechaba anataka kuchukua dawa za asili anywe ila lerato anamkatalia na kusema hawafahamu kinachomsumbua. Sechaba anasema matlala kampigia simu kamwambia watawatafuta hao jamaa waliomfanyia unyama kulipiza,lerato anakubaliana na wazo la matlala. Ika sechaba anasema anaona ni bora asahau na kuendelea na maisha yake,lerato anapinga na kusema lazima walipize

Sechaba amechoka kukaa tu na kusema anatjihisi mwanaume asiye na nguvu na kutaka kwenda kazini. Lerato anamtaka apumzike maana dokta kashauri hivyo na pia ni siku ya wafanyakazi. Sechaba anapinga wazo hilo huki akiwa na wasi wasi na sikio lake moja ambalo limejeruhiwa sana

Morogwa anamhudumia matlala bia za kutosha,matlala anamwonya asimalize akiba kisa boss hayupo,morogwa anamringishia pete. Matlala anamwambia hio pete sio feki ni orijino na kumtaka amweleze ukweli kinachoendelea,huku akimwambia mara anatapeli wateja mara anamtapeli nina.morogwa anamwambia alipewa na msichana wa kizungu aliyekua na shida ya pesa,matlala anamwambia ampe hio pete akamuuzie kisha atampa shea yake. Morogwa anaikataa ofa ya matlala

Kgotha yupo duncan akisoma habar ya linc,gabr anatokea na kutaka waongee. Gabr anamtaka kgotha akae mbali na nikiwe ila kgotha anamwambia hawez watenganisha urafiki wao.kisha anamwambia anawafahamu wanaume aina yake maana hata dada yake alishatoka na mwanaume aina hio kisha anamwambia anahisi anahitaji kumuona shost yake na kuondoka

Kgotha anaenda ofisin kwa nikiwe. Nikiwe analalamika kwa kitendo cha baba yake huku akisoma gazet lenye habar hio. Kgotha anamtaka nikiwe aachane na habar hizo. Sechaba anatokea eneo la mapokez na kujishtukia huku akipiga kelele. Nikiwe na kgotha wanaenda kumsaidia huku kgotha akifata maji na kumletea kisha anauliza nini tatizo,nikiwe anamwelezea,wanamwambia sechaba angepumzika nyumban

Matlala akiwa shebeen na jamaa aliyemuokoa sechaba,matlala anasema lazima walipize ila jamaa anamtaka waiachie polisi kazi hio,matlala anakataa na kusema je asingemwokoa sechaba kwa muda nini kingetokea,hivyo kisasi lazima

Majola anamtembelea nina selo na kumwambia atatumia njia kuhakikisha nina anaozea jela na kwamba atalipiza kisasi kwa kila nina alichomfanyia

Rajesh na kgotha wa apata coffee duncan,huku rajesh akiulizia kuhusu opera,kgotha anamwambia na nikiwe aliikosa kisa gabr,mara gabr anatokea na kuingilia mazungumzo yao akowasifia na kuwauliza wana mpango gan siku hio ya wafanyakazi,gabr anawazingua hapo kwa maongezi yake huku akisema anatumain kuwaona kwenye chakula cha usiku kesho. Kgotha anasema ni mwaliko wa nikiwe

Shebeen,morogwa anakunywa bia na matlala,matlala anaaga anaenda msalani,njian anapishana na wendy ambaye anamtaka morogwa amrudishie pete yake au ampe pesa zaidi na achukue pombe yake ambayo ni feki. Morogwa anagoma na kutishia kumfukuza hapo. Wendy anaitaka pete yake. Wendy anatumia nguvu na kumbana morogwa ukutani,morogwa anakubali kumlipa zaidi,morogwa anampa pesa. Matlala anatokea na kumuuliza kama wendy anamsumbua na kumuuliza kama amsaidie,matlala anamuuliza ni nani,ila morogwa analalamikia maumivu ya mkono na kumwomba matlala amfanyie meseji

Sechaba anarudi kwake,lerato anamkaribisha. Sechaba anamkasirikia na kumwambia kuwa hamheshimu ndo maana kaenda kumwambia nikiwe ambae anaifanya hio ishu kuwa kubwa na kwamba kazin kachukuliwa kama mtoto mdogo. Lerato anajitetea alifanya hivyo ila sechaba apumzike,ila sechaba hamwelew. Lerato anamtaka apumzike ila sechaba anamkaba na kumwambia yeye sio dhaifu atamuua na pia sio nyani. Lerato anaogopa na kumuuliza nini tatizo. Sechaba anapigwa butwaa
 
Back
Top Bottom