Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Alhamisi

Matalala akiwa mgodini anaimba zake nyimbo za dini kwa furaha,mara Sechaba anaingia na kumwambia Matalala Zukisa anamfanya awe hivyo,Matalala anasema mama yake alikuwa anapenda nyimbo za dini. But Sechaba haamini anamwambia siku hizi safari za kwenda kanisani haziishi,anamwambia ajue Zukisa alikuwa ameolewa na Sizwe na wana history. Matalala anamwambia anampenda Zukisa na yupo serious nae. Sechaba anagunaa na kutoka.

Restaurant kwa Skhu,Skhu anamuuliza Aphiwe mbona kamo hajaja kazini Aphiwe namjibu anakuja,kaka yake anamwambia Kamo anapaswa kujua ile ni biashara na kuna mhudumu mmoja. Aphiwe anamjibu kwa hasira skhu yeye muda wote anawaza business na ndo maana hana girlfriend.. Aphiwe ananyanyuka na kuondoka.

Tyson na mkewe wako the Dankan wanapata vinywaji anatokea baker anawasalimu baade Baker simu inaita na kuipokea na kuondoka. Tyson anamlaumu mkewe but mkewe anasema mangapi Tyson amefanya kwenye ndoa na anamvumilia,anasema hawezi kuomba msamaha kwa mistake ya zamani ambapo walikuwa hawajakutana. Tyson akamjibu kwa walipofikia haoni progress nzuri,mkewe anamjibu walipanga kuonyesha jamii ni happy couple. Tyson anamlamu mkewe kuwa yy ndo kasababisha yote.

Gabriel anamlamunu Nikiwe kwann weekend hiyo hakuspend na yy,Nikiwe akajibu alikuwa busy na alikuwa na mambo mengi kichwani,Gabriel akaanza kutoa lawana kuwa washakuwa engaged so anapaswa kujua alikuwa wapi,Nikiwe akamwambia hivi ndo atakuwa mume aggressive hivyo.. Akamwambia hii kitu ya marriage wasiiongelee sasa hivi. Gabriel akamwambia kwahiyo hataki ndoa? Nikiwe akajibu anataka but anahisi yeye sio mke sahihi kwake.

Nikiwe ameenda kumjulia hali baba yake hospitalini na kumwambia share zake ampatie yeye lakini baba yake akakataa. Nikiwe akabaki ameduwaa.

Barker nae akaenda hospitali na kumjulia hali Lin na kumwambia Nikiwe hawezi kuiongoza sebeko na ni bora auze shares zake na ikiwezekana amuuzie Benjamin,Lin akakataa na kusema sebeko imejengwa na sebeko na itabaki kwa sebeko,barker akamwambia mwanae wa kiume hamtaki anabaki Nikiwe ataziuza kwa nani? Lin hakujibu

Kamo anaenda kwa Nina kumjulia hali anamkuta anaomboleza na kuweka matanga,Kamo anamwambia haoni ni mapema kufikiria Obakeng kuwa amefariki? Nina akamwambia hamuhitaji hapo na aondoke na Morongwa akamfukuza,Kamo akamwambia Nina ajue amebeba kiume cha obakenga na Nina ni mwanamke mwenye roho mbaya. Kamo akaondoka analia.

Morongwa kaenda kanisani na kumkuta uncle yake Sizwe akaanza kujiongelesha kuwa walikuwa na insurance company na Sizwe pamoja na Gabriel walimzulumu hela,lakini alimsamehe Sizwe maana walikuwa wanapendana. Uncle akamwambia anamkubali Zukisa na hawezi ruhusu Sizwe awe naye, Morongwa akamwambia Zukisa anatoka na Matalala na niwapenzi hadi Ballito walienda,uncle akabaki anashangaa
 
Isidingo niksjua nasari na lema kwenye uninuzi wa madiwani salami kwa mnyeti naona wamemchukua Dr slaa
 
Friday

Nikiwe anaenda hosp na kumkuta linc yupo vizuri,nikiwe anasema afadhal kapata nafuu,linc anasema bado hayupo vizuri na kwamba anataka jaji ajue hali yake kuwa haitaji kifungo sababu ya ugonjwa ila nikiwe anakataa na kusema ugonjwa umeletwa na stress za kesi hivyo atapona muda si mrefu. Limc anaongelea angie kama mwanasheria wake,nikiwe anamwambia kuwa angie alishajitoa kuwa mwanasheria wake. Limc anasema anahitaji kuwa imara ili familia yake isisambaratike,nikiwe anahitaji share za baba yake na kumtaka linc amwamin ila linc hamwelew,wanaanza kubishana kuhusu gabriel

Uncle wa sizwe anaenda penthouse,zukisa anamwambia asizoee kwenda hapo ni sehemu ya biashara,uncle anamwambia zukisa kuwa anakataa kurud kwa sizwe kisa matlala,zukisa anasema sio matlala bali walishatalikiana na sizwe,uncle anasema ndio maana familia imemtuma hapo bado wanamhesabu kama mkwe wao na sizwe anamhitaji pia

Papa g anaingia sebulen na kumkuta nina anawasha mishumaa,papa g anamwambia nina angesubiri kuwe na ushahidi wa mwili aifanye mambo kama kachanganyikiwa,nina anasema anahitaji maua mazuri na pia ataenda kanisani kuongea nao kwa ajili ya misa ya mwanae,papa g anamtaka nina awaze biashara yao maana yeye ana uongozi,nina anakereka kwa baba yake kuwaza biashara wakat huo

Gabriel anaenda ofisin kwa nikiwe na kumchungulia dirishan kisha kwenda kugonga mlango,anaingia ofisin kanuna na maringo huku akiuliza kaam nikiwe kamuita,nikiwe anatabasamu na kumuomba msamaha gabr kwa kitendo cah kumwambia maneno ya kuudhi jana yake,wanaongea hapo na kukiss

Zukisa kaenda mtembelea linc hosp na kumwambia aliwapa hofu wakati akiongea vya kutisha,na kumtaka apone haraka familia inamhitaji,linc anasema hayo maneno inhekua vizuri akayatamka nikiwe,zukisa anamtaka linc akubali tu uhusiano wa nikiwe na gabr la sivyo hakuna atakayeshinda malumbano hayo.linc hakubal na kusema bora afe

Skhu anaenda the rec kaunta na kumkuta kamo na aphiwe hapo,skhu anamuuliza aphiwe kwann hakupokea simu yake,kisha wanataniana na kusuluhisha tofauti zao sababu ya majibizano waliyokua nayo jana yake,aphiwe anamwambia skhu ana zawad yake jikon wanaondoka,kamo anampigia simu lerato na kumtaka asipike ataleta chakula cha jioni.

Nikiwe na gabr wapo chumban kwa nikiwe huku gabr akimalizia kuvaa suruali yake,nikiwe akivaa viatu,gabr anamtaka nikiwe akae mbali na ben ila nikiwe anasema ben ni msaada kwake kimawazo. Gabr anamtaka nikiwe awah jion apike msosi,nikiwe anasema hana muda huo na kuondoka. Gabr anabaki anashangaa

Kanisan,zukisa anamwambia nina kuwa jumuia imekataa kuandaa misa kwa ajili ya msiba wa obakeng sababu familia ya nina haina uhusiano mzuri na jumuiya.nina anashangaa wakristo kubaguana na kusema mende jiaran yako kama unavyojipenda haifanyiwi kazi hapo na kuondoka

Nikiwe akiwa ofisin kwake na ben,anafundishwa na ben kuvuta sigara,nikiwe anasema akifanya hivyo ataonekana kama mwanaume na kulalamika barker anamsumbua,ben anampa ushauri nikiwe wa kuwa na wazo la kuhakikisha ana full control ya SG kwa kuwasiliana na mtu wa ben anayeish cape town atamsaidia kuipata na kwamba akiwa kwenye biashara emotion aache nyumban

Kanisan uncle wa sizwe anamwambia zukisa kuwa matlala akimchoka atamwacha solemba bora arud kwa sizwe wana mtoto na kwamba sizwe kamjengea nyumba kubwa huko home. Zukisa hakubali na kuondoka

Papa g yupo sebulen akiandika mambo ya biashara,nina anapita,papa g anamuita na kumuuliza ya biashara,nina anakasirika na kumjia juu papa g akimwambia yupo kwenye majuto ya kumuua obakeng ndo maana anajiweka kando ya maombolezo,nina anamtaka papa g aonyeshe kaam ana majonz,papa g anasema yupo hivyo hana cha kuonyesha. Nina anamwambia papa g akae mbali nae,au nina anaweza ondoka hapo home

Kamogelo anarud home na kumkuta lerato kalala kwenye kochi anamuamsha na kumwambia kaleta mosi ila hajui kama sechaba atakula,leratoa anasema atakula tu,kamo anasema hapat picha angekua anaishi kwa zamdela angekuaje na anamshukuru lerato kwa uahauri wake na kusema kapata akili sasa hawaz kuish kwa zamdela

Uncle wa linc anamtaka linc akubalianae na nikiwe na gabr,linc anakataa na kusema hana iman na gabr na hatak gabr aishi ndan ya nyumba yake au anaweza igeuza kampun vibaya. Uncle wa linc anakasirika kwa msimamo huo wa linc na kuondoka

Zukisa yupo kwa matlala ana mawazo,matlala anaingia na kuanza kualalmika kuhusu yaliyotokea mgodin,zukisa anamwambia kuwa uncle wa sizwe kaja na anamtaka arud home kwa sizwe.matlala anapigwa butwaa
 
Thurday

Dear hii si ya Ijumaa naona umeandika Thursday. Thanks kwa update
 
Monday

Zukisa yupo na matlala kitandan,matlala kalala kifua wazi,zukisa amekaa anaangalia madaftar ya mwanae,matlala anaamka,zukisa anamwonyesha matlala daftar,matlala anauliza kama hio mdo sababu ya sizwe kumtaka arud home,zukisa anasema mwanae hajawah kuwa na matakeo hayo ila hana mpango wa kurud kwa sizwe,matlala anamuuliza zukisa kuwa uncle wa sizwe ana muda gani hapo HD,zukisa anajibu wiki moja,matlala anachukia na kulalamika kwa zukisa kutomwambia kuhusu ujio wa mjomba wa sizwe na kuuliza kama uncle anafahamu mahusiano yao,zukisa anajibu ndio maana morogwa alimwambia,matlala anaendelea kulalamika

Papa g anampelekea nina breakfast sebulen,nina hajibu anabaki kulala hapo alipotandika godoro,papa g anamtaka ale apate nguvu

Zukisa anarudi penthouse na kushtuka kumuona gabr akiwa na nguo za kuonyesha alilala hapo,zukisa anamuuliza gabr kama alilala hapo,gabr anamwambia hayamhusu,zukisa anashangaa nikiwe kumruhusu gabr hapo wakat linc hapend,gabr anajibu mudasi mrefu wanaoana,mara anatokea uncle wa linc,gabr anajificha,uncle anamuuliza zukisa mbona kapiga kelele,gabr anamwonyeshea zukisa ishara asiseme kitu,zukisa anamdanganya uncle kuwa kamuona panya ndo akapiga kelele,uncle akashangaa panya ndan ya nyumba. Uncle anaomdoka,gabr anajitokeza,zukisa anamwambia siku nyingine atasema ukweli

Nikiwe anaenda hosp na kukuta linc hajabadili nguo kwa ajili ya kutoka hosp,nikiwe anamtaka linc atoke hosp akumbane na adhabu yake,linc anakataa na kumtaka nikiwe aijulishe mahakama ugonjwa wake na kwamba jela sio pazuri kwa afya yake,nikiwe hamsikilizi na kumtaka abadili nguo

Tyson anatoka ngaz za vyumban duncan,ile kwenda kaunta anaagiza maji ya kunywa,angie aliepo hapo duncan anamwambia aagize kitu kizito,tysona anasema ana kikao baadae,wakiwa wanaongea anatokea kagotha na jamaa,kgotha anaenda kaa meza nyungine,angue anamwambia tyson hawana uhuru,tyson anaondoka,kgotha anaenda kwa angie na kumtaka akae mbali na ndoa yao

Linc yupo penthouse,uncle anamkaribisha home,linc anasema ana wakati mgumu kushindwa kujinasua kwenye janga hilo,uncle anamwambia aangalie watoto wake na kuweka sawa ahusiano yake nao,linc anasema bora nikiwe wanaweza patana kuliko ntado aliyejitoa mwenyewe kwenye familia, uncle anamtaka linc kukubali adhabu maana itamwonyesha ni shujaa anayeweza kusameheka,linc anasema kamwe hataki kuonekana mnyonge hasa kwa tyson,atawasiliana kwa wanasheria waangalie njia mbadala

Nina akiwa geto kwa obakeng,anapanga kwenye begi vitu vya obakeng,zukisa yupo humo pia anamwambia watu wa kanisa ndio hawakutaka kumpa nafasi,nina anamwambia zukisa asubirie nje,zukisa anasema hicho ni chumba chake alipangisha tu obakeng,nina anamtaka atoke nje la sivyo anaweza kukichoma moto,zukisa anaondoka

Nikiwe akiwa ofisin anamkaribisha ben,ben anamwambia kasikia linc keshatoka hosp nikiwe anajibu ndio ila mkaidi kukubali kwenda jela,ben anamuuliza nikiwe kaam ameshawasiliana na mtu wake wa cape town,nikiwe anasema bado maana mambo mengi,nikiwe anama ofa ben ya kuwa MD hapo SG ili kumsaidia zaidi maana ben ni mjuzi na mjanja,ben anamwambia ampe muda afikirie

Nina akiwa na morogwa anatoa order jins ya kuandaa service ya msiba wa obakeng mara aphiwe anaingia,nina anamwambia mbona kachelewa kusaidia ,aphiwe anasema hakuambiwa kisha anasema kaleta mgen,calvin anaingia na kutaka kumpa pole nina ila nina anamkasirikia aphiwe na kumwambia kuwa kaona obakeng kafa kaamua kutoka na calvin,aphiwe anajaribu kujitetea ila nina anawafukuza na kumtaka morogwa awaondoe hapo,calvin na aphiwe wanaondoka

Penthouse,nikiwe anamtaka linc ampe mamlaka kamili na kwamba keshaajiri MD,linc anamshangaa na kumwambia mbona hajamshirikisha kwenye maamuzi hayo,nikiwe anasema haina haja maana akiwa hayupo yeye ndie atahangaika na akina tyson na barker,linc anamwambia nikiwe kuwa kaijenga SG na kwamba bado anahaki ya kushirikishwa,na hawez onakampun ikidondokea kwa gabr,nikiwe anasema MD sio gabr ,linc anasema gabr atakua MD wa maisha ya nikiwe hawez dondoshea kampun kwake,nikiwe anakasirika na kusema kafanya bidii miaka yote kisa SG na kwamba anataka haki yake

Zukisa akifanya usafi geto kwake na lerato wakiongelea ishu ya nina na obakeng,mara zukisa anaongelea masuala ya mtoto na sizwe,lerato anashangaa na kumwambia zukisa ampeleke sizwe mahakaman ampe mtoto,zukisa nakataa na kusema kesi ya linc imempa fundisho,lerato anamuuliza zukisa kama anampango wa kumrudia sizwe,zukisa anabaki kimya akigusa mkufu wa ahingon kwake

Ben yupo na sechaba the rec,ben anamwambia sechaba kuwa kapata ofa SG ya kuwa MD,sechaba anakasirika kuona nikiwe kamgeuza punda na kumpa ahadi nyingi bila kutekeleza. Ben anamtaka asikasirike

Zukisa yupo kanisan akisali mara matlala anaingia na kusubiria zukisa amalize kusali,baada ya sala wanaombana msamaha kwa kukorofisha asubuh

Usiku nikiwe linc na uncle wapo mezan wakipata chakula cha usiku mara gabr anaingia na kumkis nikiwe,linc anakasirika kuona nikiwe kamualika gabr hapo,gabr anamwambia linc atakua baba mkwe wake,linc anakereka na kulumbana na gabr na nikiwe,uncle anakasirika na kusema anaondoka anarudi kwake kachoka malumbano ya kila siku hapo ndani.
 
Tuesday

Asubuh linc anawakuta nikiwe na gabr mezan,linc anasema anatumain gabr hajalala hapo,mara uncle anatokea akimwambia mfanyakaz amtolee mabeg yake,nikiwe anamtaka uncle akae mpaka pasaka,linc anashukuru uncle kuwa nae kipind chote kigumu,uncle anasema anahitaji kuwa na familia yenye amani kipind cha ijumaa kuu. Linc anapata simu ana kusema ni mwanasheria wake mpya kisha anaondoka kwenda kuongea pemben,uncle anaaga ila nikiwe anamtaka anywe chai kisha amsindikize,uncle anasema alidhan yupo busy na vikao,nikiwe anasema kwa ajili ya uncle ubusy haupo,na kwamba atamwambia dereva ampeleke airport Uncle anakubali,nikiwe anaondoka kwenda kujiandaa. Uncle anakaa mezan,gabr kwa kujipendekeza anamwambia uncle kafurah kuwa nae kipind chote hicho na pia inabidi wakae waelewane jins ya kutoa mahari,uncle anamtaka gabr awe na adabu na wakubwa hasa wa familia za watu maana kama anadhan hawafahamu jins anavyoshinda na kula,kulala hapo nyumban sio vizuri. Anamwambia mwanaume gani anashinda nyumban kwa mwanamke

Sechaba yupo jikon na lerato huku sechaba akijisifu kuimba nyimbo za dini,mara kamo anatokea kavaa kagaun kafupi keusi akisema hajaona nguo nyingine ya kuomboleza,sechaba na lerato wanasema nguo fupi akavae nzuri hasa teneti,kamo hatak kuonekana mwanamke mkubwa. Kisha anawauliza kama wataenda,wanakataa kamo anaanza kulalamika,lerato anamwambia aende hawamkatazi

Tyson na mkewe wanajiandaa kwa mtoko,ila wanalumbana kuhusu mahusiano yao na kgotha anamuuliza tyson kwann angie anakuja sana duncan,tyson anasema hio ni sehemu ya watu wote,kisha tyson anamwambia kgotha anarud UN peke yake

Ben anaenda ofisin kwa barker ,barker anampokea kwa furaha na kumwambia kasikia kapata ofa kubwa SG na kwamba ni wakati mzuri wa kufanya biashara na kwamba yeye barker kuimiliki SG ni jambo lisiloshindikana. Ben anamwambia hayupo tayar kwa biashara wala kuwa spy wake kwa SG na awe amakin maana anaweza msaidia nikiwe na kumpa hasara barker

Zukisa yupo na wamama wa kanisan akiwaambia kuwa maombi yamesaidia linc karuhusiwa toka hosp,wakiwa wanaongea anaingia uncle wa sizwe na kuomba kuongea na zukisa,wakiwa pemben uncle anamwambia zukisa kuwa anaondoka kesho yake na kumuuliza zukisa kama ana ujumbe wa kumpa apeleke nyumban,zukisa anamwambia akawaambia atamwendea mwanae kipind cha pasaka na sizwe akikataa atampeleka mahakaman,uncle anasema mambo ya familia hayatakiwi kupelekwa mahakaman na itamwathiri sana mtoto wao.

Kwa zamdela kuna misa ya msiba wa obakeng,yupo,nina,papa g,skhu,aphiwe, kamo,calvin,morogwa,barker na wengineo,papa g anatoa ujumne mfupi kuwa teesi zinasema obakeng kauliwa na mwili kuchomwa moto na kuwashukuru wote waliofika mahali hapo kuwa nao kipind hicho kigumu

Ben anaenda ofisin kwa nikiwe na kumwambia hajaikubali ofa na kumtaka nikiwe atafute mtu mwingine mwenye ujuzi wa madini. Nikiwe anakuwa too disapointed maana alitegemea ben atamsaidia vita vya kuwashinda barker na tyson

Msiban,wakiwa wamemaliza shughuli wengine wanakula,aphiwe yupo anaongea na calvin,nina anamfata calvin na kumtaka aongee maneno machache kuhusu obakeng maana yeye ndie aliyemwona kwa mara ya mwisho,calvin anaenda mbele sebulen na kusimulia kilichotokea huku akimsifia obakeng kwa ushujaa aliokua nao

Gabr anaenda ofisin kwa nikiwe akimtaka waende kuka duncan ila nikiwe anasema yupo busy na kwamba mtu aliyetaka awe MD kakataa ofa,gabr anauliza kama ni ben,nikiwe anakubali, na kumtaka gabr amsaidie kutafuta MD gabr anajipigia promo apate u MD ila nikiwe anamkatalia. Gabr namtaka nikiwe waende mahakaman wakafunge ndoa ili linc akose sababu za kumtishia kumnyima shares,nikiwe anakataa wazo hilo

Zukisa yupo na matlala the rec mara lerato na sechaba wanatokea,sechaba anashangaa kukutanishwa na watu hao,wakiwa wanajiandaa kukaa anakuja uncle wa sizwe akimtaak zukisa waende pwmbwn wakaongee,zukisa anamtaka aongee hapo,uncle anasema hawez ongea mbele ya rafiki zake hao,kisha uncle anauliza kama hapo yupo matlala,matlala anajitambulisha,uncle anamchamba kwa kutoka na mke wa mtu,matlala hakubali kubaki nyuma,uncle anamlaum matlala kwa kumpa wazo zukisa la kutaka kumpleleka sizwe mahakaman,baada ya uncle kuomdoka matlala anauliza uncle alimaanisha nn,zukisa anamwambia apotezee

Kwa zamdela,barker anaenda mpa pole nina,kisha anaanza kuondoka ila nina anasimama mbele na kuongea machache kuhusu obakeng,wote wanamsikiliza mara anatokea baunsa wa papa g mbio mbio akimwita papa g atoke nje ajionee,papa g anamtaka aondoke kwan wapo kwenye jambo muhimu,calvin anaondoka na baunsa
Nina anaendelea kuongea ,mara calvin anarudi na kusema amerudi,nina anauliza nani,calvin anajibu obakeng,ni mzima.
 
Back
Top Bottom