Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Kwa hali hiyo naona linc yupo radhi amuachie shares zake tyson kuliko nikiwe,hasa ukiangalia remote control ya nikiwe ni Gabriel
Ni kweli maana Linc amejitahidi sana kumbembeleza ila ni kama haoni nimependa hapo Aphiwe alipomwambia Kamo aache drama asante maana yote naifatilia kwako
 
Kamo anazingua mno anamuumiza aphiwe kwa kujiweka mbele mbele kwenye suala la obakeng kupotea,aphiwe ana moyo wa pekee,in real life sidhan kama kuna wadada aina ya aphiwe

Uko sahihi kwa aphiwe na sikuwa muangaliaji wa isidingo kindaki ndaki ila kipindi cha saga lake na Gab ndio nikajikita ni mzuri roho na muonekano kanajielewa sana nadhani wapo ila sio kiwango hicho
 
Back
Top Bottom