Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Leo alhamis

nikiwe anabishana na baba yake kuhusu ujio wa tyson na mkewe hapo penthouse,nikiwe anajitetea kuwa alijikuta kwenye situation ya kukubali mwaliko(inaonekana mke wa tyson hafaham uadui uliopo so walipoonana kwa bila kutegemea the duncan akamwambia niki wataenda kula dinner na kumuona linc hapo home)

Angie anabishana na calvin kuhusu ukaribu wake na dannie

Zukisa anaenda saloon kwa lerato kupaka rangi kucha pia anamwonyeaha bahasha alizochagua kuweka savings zake. Lerato anamkosoa na kumtaka kutumia pesa kwa uhuru kama kununua nguo au kwenda holiday,zukisa anamkatisha na kumwambia pesa ni zake atatumia atakavyo

Rajesh na barker wakiwa wanaongelea business na migomo ya wafanyakaz wao mara mke wa tyson anampigia simu barker na kumtaka wajadili biashara

Angie anamfata eddie kituon na kumtaka akae mbali na zamdela na mali zao maana kuanzia muda huo yeye ndie mwanasheria wao mkuu. Eddie ana mashaka kua angie atakua kwenye wakat mgumu(kutishiwa kitu na zamdelas) kias cha kukubal kuganya nao kazi

Calvin anaingia the rec na kumuona obakeng counter, kwa hasira akataka mfata ila eddie akamuwah na kumpa onyo la kutofanya fujo bali kuachia mamlaka zifanye kaz zao

Calvin kaenda hosp kumjulia hali dannie akamkuta dannie anakula chakula haraka haraka,calvin anamtania kuwa bado hajawa huru,katika maongez yao dannje anajjkuta anamention kuhusu prison break,angie anasikia na kutaka maelezo zaid ila calvin anaaga na kuondoka huku dannie akigoma kutoa ushirikiano.

Brad akiwa na maua anaingia rum kwa Tiffany ili kurudisha uhusiano ila bidada keshafungasha mizigo kwa ajili ya kuondoka na msimamo ni kuachana( tiffany hajiamin anahisi brad na charlie bado wana date,hasa alipogundua kuwa brad alimuuliza charlie kama ana date na skhu)

Lerato anamtoa out sechaba,kufika the duncan sechaba analalamika gharama za out hio ila lerato anamtaka waenjoy(nadhan sechaba hajui kuhusu pesa walizookota lerato na zukisa)

Calvin kurud home,angie anamwomba wamalize tofauti zao ili wasaidiane kumtoa jela dannie,na ana mpango nao ni dannie awatajie polisi na jail officers majina ya wafungwa wanaopanga kutoroka jela ili apate kamsamaha na kuwa huru,at first calvin anakataa ila baada ya muda anafikiria

Zukisa kamwita lerato the rec kujadili jins ya kutumia pesa na amepanga wafungue cafeteria

Calvin kaenda hosp kumshawishi dannie awataje wenzie wanaopanga kutoroka,dannie kagoma mpango huo. Calvin anaamua kuondoka wondin kisingizio ana kazi ya kufanya,dannie anamuuliza kama kaz hio ni revenge kwa aliemsababishia ajali

Charlie akiwa duncan anaonana na rajesh na kuchit chat kidogo mara Tiffany anatokea na mizigo yake,rajesh na charlie wanashangaa na kuuliza kulikon,Tiffany anamlaum charlie kwa kuvunja mahusiano yake kwa kumsaliti(anahisi charlie bado anadate na brad)rajeah anamtetea charlie ila Tiffany anaishia kumzaba kofi la shavuni charlie

Obakeng akiwa anafunga mlango nje ya home kwake ghafla anavamiwa na calvin na kupigwa,obakeng akiwa chini anaulizwa na calvin kuhus vitu vyake(kwenye gark kulikua na laptop,simu na kadhalika ambavyo calvin anahisi aliyechukua ni obakeng)
 
Santee ingawa haya ni marudio karbia Wiki itv wamerudia
anyways ngoja tuone kesho itakuaje maana hii ilkua episode ya mwisho kabla ya Kuanza kurudia

try me
 
Nadhan na kesho wanaweza rudia kisha jumatatu ndio waendelee kama kawa
Santee ingawa haya ni marudio karbia Wiki itv wamerudia
anyways ngoja tuone kesho itakuaje maana hii ilkua episode ya mwisho kabla ya Kuanza kurudia

try me
 
Tyson na mkewe wanaitikia wito wa dinner penthouse. Nikiwe anawapokea kwa uchangamfu hukua anawauliza sababu ya kurud town,mke wa tyson anajibu ni sababu ya biashara zake(anamiliki kampun kubwa ya uchimbaji) wakat niki anaendelea maongez na mgen mara linc anatokea na kumsalimia mke wa tyson fresh tu ila tyson anaanza maneno maneno yanayosababisha malimbano kati yake na linc. Mke wa tyson anashangaa

Calvin anamuuliza obakeng kuhusu vitu vyake ila abakeng anajibu alishaviharibu,calvin anakasirika na kumtakabawe mbali nae ila obakeng anamjibu yeye ndio akae mbali na masuala ya familia za watu la sivyo atapoteza maisha kama baba yake.calvin anakasirika na kumpa kichapo kikali obakeng

The rec gabriel anamkuta skhu akiwa busy na kaz zake anaanza lalamikia wizi mahali hapo.skhu anampotezea,gabr anamwona zukisa counter na kumfata huku akimwambia awe makin na mali zake mahali hapo maana kuna mtu alipoteza bag wake muhimu hapo.

Obakeng anapata first aid geto,nina akuja na kumuuliza nani mhusika wa kilichomtokea,obakeng anamtaja calvin.nina anamtaka waende hosp ila jamaa hatak na kuanza mlaumu nina kumtuma kumfatilia calvin na kuapa atakuja mmaliza calvin.

Home angie anamuuliza calvin kafanya nn mkonon ila jamaa anajibu alibanwa na mlango.kisha angie anataka kujua maendeleo ya ishu ya dannie kuwasaliti wenzie,calvin anasema amekataa,angie anaanza kulaumu na kumtaka calvin awataje yeye ili dannie apate dhamana maana yeye hawez sababu ni mwanasheria wake.calvin anakataa

Linc anamuuliza mke wa tyson kwann hajampigia simu waongee biashara,ila tyson anajibu kwa dhihaka,wanaanza bishana mara Gabriel anatokea na kuwakuta hapo mezan,anatoa excuse ya kumuona nikiwe. Nikiwe anamfata pemben na kumtaka asiwe anakuja hapo ila gabriel anawageukia akina tyson na kuanzisha maonez nao tabia inayowakera nikiwe na Lincoln. Linc anasema gabriel hana adabu ila mke wa tyson anasema its okay hali inayompa tyson uwanja wa kumzodoa linc,majibiazano makali yanatokea

Calvin anaenda hosp kupeleleza kama obakeng amelazwa hapo na kugundua hayupo,njian anakutana na eddie anaemwonya kwa uvamiz wa mwili

Zukisa anamwambia lerato kuwa pochi ni ya gabriel. Lerato anamtoa hofu na kumtaka auchune kama sio yeye na wazitjmie pesa vizuri. Zukisa anasema anaenda kusali ili ajue kama wamefanya vibaya au la

Angie anaingia wodin na kumkuta dannje anaongea na simj na babu yake(baba yake angie). Angie anaanzisha topic ya usaliti kwa ushawish mkubwa,dannie anakubali

Wakiwa hotelin mke wa tyson(ana kakijungu kakiafrika)anamuuliza tyson kilichotokea jana yake usiku. Tyson anamjibu ni kuhusu katlego,mkewe anasema alishangaa hawakuongelea swala la kupotea kwa katlego ila tyson anamwambia kat alishafarik na muuaji ni Lincoln.

Barker anapokea simu toka kwa kijana wake kuwa ameshatua mjini HD

Nikiwe anaamua kuachana nabgabriel na kumtaka gabriel aache kwenda penthouse

Zukisa anapata dili jipya la biashara yao,ila katiaka maongez yake na lerato wanapishana lugha kidogo

Nina anamfata calvin kwake na kumuuliza kisa cha kumvamia obakeng,angie anatuliza hali na kumtaka nina wawe na kikao cha watu wanne. Nina anaondoka huku angie akimgeukia calvin kwa swali la kwann kafanya hivyo
 
Hahaha isidingo inapotea taratibu ndani ya itv kama vipi azam waichukue itawalipa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
ITV WAMETOA TAARIFA KUWA HAWATAKUA NA ISIDINGO KWA SIKU YA LEO BADALA YAKE WAMELETA TAMTHILIA YA THE COBRA SQUAD. ISIDINGO THE NEED ITAREJEA BAADAE SIKU CHACHE ZIJAZO
 
ITV Seriously??? nimekaa kwa kujiandaa naisubiria nashangaa nakutana na hiki kitu mxiuu. mwanzo nikajua Tangazo labda zile weekend movie Duh
disappointed
 
Back
Top Bottom