Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Nikiwe baada ya kuambiwa ukweli katoka kwao kachanganyikiwa mpaka kutetemeka kaenda kwa skhu hajui afanye nn kabaki analalamika bila kuongea cha kueleweka huku akitaman asingekua sibeko.skhu (baada ya kuona haambiwi ukweli)akampa ofa akalale kwake mpaka kesho yake atapata nafuu.

Wakati huo huo Tyson yupo home kajaa tele anamsubiri nikiwe amwambie alichokiona kwenye footage,mara linc akatokea na kumuuliza kama kamuona nikiwe,wakabaki kulumbana kama kawaida yao.

Kamo very beautiful kajiremba wee ili kumsubiria salun obakeng,mara lerato akaja mkumbusha zamu ya kufungua asubuh ni ya aphiwe hivyo yeye aende town kuchukua mzigo(kakamkosa hb)
Gabriel kampen yake ya zam zam inapata dosari kwa kutoungwa mkono na wachimbaji.
Asubuh linc na tyson wanapata breakfast huku kila mmoja anamsubiria nikiwe kwa hamu,bidada akatokea kachanganyikiwa,wote wanamuwahi waongee nae ikawa malumbano nikiwe akakana ya footage kwa tyson(anamlinda baba yake)akatoa excuse akaoge,nyuma yake kaacha malumbano ya kutosha.
Linc akajua nikiwe kamsamehe kisa hajamwambia chochote tyson,akamfata ofisin wayamalize,nikiwe hataki hata kumuona(skhu kafaidi sinema ya bure maana alikuwepo maeneo ya karibu na ofisi ila maneno hajayasikia)
Asante,uko vizuri kwa usimulizi
 
ITV inaboa jamani yale matangazo yanayopita chini ya isidingo hayavumiliki jamani.(leo sijaifaid kabisa matangazo yanakata stim)

Nikiwe kaamua kumsalit tyson kwa kuficha ukweli aliojua.kutokana na jinsi anavyoreact kila tyson akimkumbushia ishu ya katlego,tyson keshapata mashaka kua nikiwe kaujua ukweli ila anaficha.

Kamo na aphiwe wana ugomvi kisa obakeng

Barker aliombwa na nina akambembeleze papa g amkubali obakeng ila papa g kamwambia barker hawezi samehe damu ya msaliti wake.(rafiki yake papa g ndie aliyempa mimba nina(lazima imuume kugongewa binti na mzee mwenzie)

Gabriel kaonywa na kachero kua mchezo anaoucheza si wa kitoto kuna watu wengi wana nguvu zaidi yake.

Lerato anamshawish sechaba aiuze nyumba wanayoishi ili wanunue nyumba kubwa zaidi,sechaba kabaki na msimamo hawezi uza nyumba aliyoachiwa na wazazi wake.

Tyson kapata post UN, wakati huo huo kaajiri watu wawili watakaompa mbinu ya kushuka shaft 8
Thanxxx kwa update,maisha yanafanya niwe mbali na tv kwa muda,nashukuru hata nikirudi nitakuwa naelewa vizuri mtiririko wa matukio yaliyotokea wakati sipo.
 
Wale ambao tunaangaliaga online tutengeneze na sisi uzi wetu maana kule youtube naona mambo yamekuwa mambo

Nik asipoangalia anakuja kuangukia pabaya.
Linc naye kama mahakama inamuhusu
 
Naona ya huko iko mbele kidogo!
 
Naona ya huko iko mbele kidogo!
Jana nilikua naingalia sema kuna baadhi wameziondoa mpaka sasa ipo episode 246

Ila nisiwape ubuyu maana ntaharibu uhondo.

Ila kinachonifurahisha online ipo romantic sana. Location zimebadilika. Mtu kama zuki ameshakuwa kamalaya. Kamo amepata mimba. Obakeng na nina washajuana mama na mwana. Ty mke wake yupo anatoka na kumar na ty anatoka na anjelique kama kulipizana kisasi.

Linc yupo mahakamani. Anjelique kumbe ni wakili mzuri maana yale mabishano ya mahakama nimeyapenda nayafananisha na mtoto wa liuternant alipobakwa.

Samahani maana nimetoa ubuyu hapa msinishambulie by the way
 
Khaaa..kumbe ni mbele?? Tueleze basi imekuwaje kule shaft 8 mwili wa katlego umeonekana??
 
Kwa kweli sijaona kama wametoa mwili kule shaft 8 ila kwenye youtube inaonyesha kama kibuyu flani cha chuma kimewekewa majivu ya kat alafu nik amevishwa pete na gab....... Niishia hapa maana naona naharibu huu uzi.

Mimi naangalia huku itv na naenda sambamba na kule youtube. Itv wakifikia sehemu niliyoshaiona basi naachana nayo. Mfano juzi juzi walikuwa wanaongelea(itv) maswala ya uchaguzi wa amerika trump na clinton.

Ijumaa ya juzi ty katuma watu wasneacky kuingia shaft 8 ili wafanye uchunguzi.

Niishie hapa
 
Jana nilikua naingalia sema kuna baadhi wameziondoa mpaka sasa ipo episode 246

Ila nisiwape ubuyu maana ntaharibu uhondo.

Ila kinachonifurahisha online ipo romantic sana. Location zimebadilika. Mtu kama zuki ameshakuwa kamalaya. Kamo amepata mimba. Obakeng na nina washajuana mama na mwana. Ty mke wake yupo anatoka na kumar na ty anatoka na anjelique kama kulipizana kisasi.

Linc yupo mahakamani. Anjelique kumbe ni wakili mzuri maana yale mabishano ya mahakama nimeyapenda nayafananisha na mtoto wa liuternant alipobakwa.

Samahani maana nimetoa ubuyu hapa msinishambulie by the way
Sio mbaya kushea ulichonacho,be free..
 
Kwa kweli sijaona kama wametoa mwili kule shaft 8 ila kwenye youtube inaonyesha kama kibuyu flani cha chuma kimewekewa majivu ya kat alafu nik amevishwa pete na gab....... Niishia hapa maana naona naharibu huu uzi.

Mimi naangalia huku itv na naenda sambamba na kule youtube. Itv wakifikia sehemu niliyoshaiona basi naachana nayo. Mfano juzi juzi walikuwa wanaongelea(itv) maswala ya uchaguzi wa amerika trump na clinton.

Ijumaa ya juzi ty katuma watu wasneacky kuingia shaft 8 ili wafanye uchunguzi.

Niishie hapa
Ok thanks..sasa na mm nifanyeje ili niwe naangalia kupitia youtube?
 
Kwa kweli sijaona kama wametoa mwili kule shaft 8 ila kwenye youtube inaonyesha kama kibuyu flani cha chuma kimewekewa majivu ya kat alafu nik amevishwa pete na gab....... Niishia hapa maana naona naharibu huu uzi.

Mimi naangalia huku itv na naenda sambamba na kule youtube. Itv wakifikia sehemu niliyoshaiona basi naachana nayo. Mfano juzi juzi walikuwa wanaongelea(itv) maswala ya uchaguzi wa amerika trump na clinton.

Ijumaa ya juzi ty katuma watu wasneacky kuingia shaft 8 ili wafanye uchunguzi.

Niishie hapa
Khaaa nikiwe kavishwa pete na gabriel? Siyo Skhu? Makubwaaa..
 
Nik kaonyesha roho ya kiume. Ila kukaa na siri ile inamshinda sasa siku sio nyingi atasema navyoona. Maana wanawake hawajaumbwa na roho ya kiume ya kukaa na kitu moyoni.

Gabriel naye zama zama campagne imepata support na mineworker ila sechaba ana shughuli.

Lerato na sechaba ata siwaelewi. Lerato anataka nyumba kubwa kwa ajili yeye na mume na watoto sema mshahara wa mume wake ata kununua baiskel hawezi. Ila wewe Lerato jamani yule ni mume wako mtarajiwa mambo ya kupelekana counselling za ndoa za nini?

Kamo na yule obakeng balehe mbaya sana. Kamo kapewa makavu na oba kisa alimdanganya na kumpotezea muda sasa achunge kipochi manyoya.

Ty bado anataka kwenda shaft 8 ili akagundua.

Niki anamletea mapicha picha baba yake.

WALE WA ONLINE
episode 247 zukisa anakwenda kutoa ushahidi mahakamani msisahau kupita
 
Back
Top Bottom