kumbe mpoo eeh! Naona mambo yenu
ila mi wa isha mashauzi ule wa mama kaimba mwenyewe unanigusa sana najisikia nampenda mama angu mara 100
ule wimbo acha
nakupenda sana mama
wewe ndo mlinzi wangu
mama mwenye huruma
ubarikiwe nA mungu
Akupe uzima kwenye huu ulimwengu
naibeba dhima .ntAkutunzA mama yangu
hivyohivyo nimeusikiliza sana usiku,aisee nimemkumbuka sana my mom.
sote tumezaliwa hakuna aso mama
tofAuti ni ukiwA na alojaliwa neemA
Pia ulijiwekea ukose wewe nile mie
hapo sana nashangaa lipi jema nifidiee
Kuna ule naupenda anaimba mke wa mzee Yusuph sina muda wa kukudiskas unaujua unipe mashairi kidogo
kuna wimbo mja unaitwa asuu aisee nikiuckia tu ht km nilikuwa chooni natoka
asuu roho ingekuwa nguo ninge kuazima uwe nayo hadi milele
we acha kabisa utalewa
kuna wimbo mja unaitwa asuu aisee nikiuckia tu ht km nilikuwa chooni natoka
asuu roho ingekuwa nguo ninge kuazima uwe nayo hadi milele
we acha kabisa utalewa
dah! Umejuaje unanigusa mbayammmhh nahisi unakulewesha kimahabamahaba.hongera.
Asante, nilisahau jina la hiyo taarab....
Naipenda sana....halafu kaimba Ahmed Mgeni (RIP)
"Wamemfata fata wengi bali wote kawatosa
Wenye uzuri na rangi kakataa zao ofa
Kaniona mimi King kanifungulia kurasa
Na mimi nilivyo mwingi amenipa sijasusaa
Alitakalo sipingi ndo ninae hadi sasa
Ananipa sifa nyingi hatoweza kunitosa....."
cc; My Docta