Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,373
- 54,756
Kwani wakati natazama na kumkubali Mahone ulikuwepo?.Hakuna kitu, bora hata Scofield
Hicho kiherehere chako kitakusababishia mimba.
Kwani wakati natazama na kumkubali Mahone ulikuwepo?.Hakuna kitu, bora hata Scofield
thanaaaaaaaAlexander Mahone akili nyingi huyo mzee.
kwa asilimia kubwa sana T-bag amenogesha hiyo show na kwa kulijua hilo ndio maana alikuwepo ktk kila msimu/season.Hakuna mtu mwenye roho ngumu na mbishi kama T-bag. Huyu jamaa nilikuwa namchukia mwanzo lakini asee huyu jamaa amecheza ile role vizuri sana
ScillaMnakumbuka hii scene? View attachment 790763
Charles westmorlandMkuu aliyeficha hela ni yule mzee walilua wanamuita D.B Cooper jina lingine nimelisahau.
Sio walitoka sona.. walikua wametoka fox river..season one hiyo... John abrrutzzi akapiga mkono shoka.. ana roho ngumu sana yule jamaa...Alexander Mahone was my guy....halafu ile scene ya jamaa alijifanya anahubiri kisha akamkaba Theodore Badwell T -Bag mule ndani niliipenda.
Kuna ile wametoka Sonna Tbag kajipiga pingu na yule shoga Michael ila kuna jamaa akamkata mkono halafu wakamwambia" You are on your own"
Hahaaa nakumbuka alikua amesimama ukutani mwa tunel akiwa na berrick akapangusa pua akasema "mmxxxxx that son of the bitch sold us out"Halafu kwenye mishe zote lazima azipate akickia mchongo mpya anakuna sikio kwanza ila Michael Scofield alimuweza alipomuuza ktk gereza la Sona