Wapenzi wa Prison Break

Wapenzi wa Prison Break

Hii movei ni Kali Sana na niliwakubali Sana hao Wana wote.

Ila nilikuja kuchafukwa kusikia eti Wentworth miller naye ni shoga.

Tangu sikuhiyo niliona wazungu Wana laana.
 
Alexander Mahone was my guy....halafu ile scene ya jamaa alijifanya anahubiri kisha akamkaba Theodore Badwell T -Bag mule ndani niliipenda.
Kuna ile wametoka Sonna Tbag kajipiga pingu na yule shoga Michael ila kuna jamaa akamkata mkono halafu wakamwambia" You are on your own"
 
Hii series wakati inatoka ilikua inanilaza saa 10 halafu asubuhi mzigoni nakwenda,huko kazini sio kusinzia
 
Yap toka apigwe chini kule gerezani alikua mweupe maana harakati za mtaa alichemka hasa alipokua ktk gereza la Sona
Uniform zilkuwa zinampa kiburi sana,Bellick nilikuwa namchukia kinoma lkn baadae nilimuona huruma sana
 
Hapa walimuona T- bag wakati walidhani hayupo tena. Hapo Lincoln anajikuta naropoka THAT SON OF BIT..CH IS STILL ALIVE!!
Hahaa upo sawa kabisa wakamtoa nduki akakirusha kile kitabu ambacho ni blueprint ya jinsi ya kuifikia sila.
 
Alexander Mahone was my guy....halafu ile scene ya jamaa alijifanya anahubiri kisha akamkaba Theodore Badwell T -Bag mule ndani niliipenda.
Kuna ile wametoka Sonna Tbag kajipiga pingu na yule shoga Michael ila kuna jamaa akamkata mkono halafu wakamwambia" You are on your own"
No haikuwa Sona, ilikua ndio first escape from fox river, na alie mkata kiganja T-bag ni John Abruuzi...John aliitumia hii nafasi kama kulipiza kisasi baada ya kuchanwa na wembe shingoni na kunusurika kifo kule gerezani na huyo T-bag.

tatizo moja John hakuwa na msimamo na mipango yake ikapelekea kufa kizembe sana.
 
James Whistler:Huyu mzee alificha hela zake chini ya ardhi kijiji alikuja kufa Kwa kidonda

Lechero: huyu jamaa alikuwa mbabe sana gerezani ila mwisho wa picha akaja kukalishwa

Don Self: huyu jamaa alikuwa mbinafsi sana, mwisho wa picha akaja akawa ndondocha

Gretchen Morgan: huyu demu anaroho ngumu sana
No James Whistler hakuficha hela, huyo alikua bwana mdogo akiwa kama espionage wa The Company "General" akiwa under-cover as a fisher-man,

Baadae alikamatwa na kufungwa gereza la Sona, boss wake alifanya juhudi nyingi za kumtolosha sababu alikua na taarifa muhimu za kampuni....huyu jamaa ndio ilikua sababu ya Michael kwenda kufungwa hilo gereza,

Alikuja kufa kwa kupigwa risasi wakati anamshawishi Michael ajiunge nae kuiua kampuni.
 
No haikuwa Sona, ilikua ndio first escape from fox river, na alie mkata kiganja T-bag ni John Abruuzi...John aliitumia hii nafasi kama kulipiza kisasi baada ya kuchanwa na wembe shingoni na kunusurika kifo kule gerezani na huyo T-bag.

tatizo moja John hakuwa na msimamo na mipango yake ikapelekea kufa kizembe sana.
Sawa sawa mkuu nimekupata. Hivi kuna movie ambayo mwanadada Morgan amecheza apart from PB?
 
Halafu ile idea waliyompa Michael ya kuweka mchanga ktk suruali waliiga kutoka seashank redemption na cha ajabu hadi personality na charactet za waigizaji waongozaji zina fanana
 
James Whistler:Huyu mzee alificha hela zake chini ya ardhi kijiji alikuja kufa Kwa kidonda

Lechero: huyu jamaa alikuwa mbabe sana gerezani ila mwisho wa picha akaja kukalishwa

Don Self: huyu jamaa alikuwa mbinafsi sana, mwisho wa picha akaja akawa ndondocha

Gretchen Morgan: huyu demu anaroho ngumu sana
Hakuna mtu mwenye roho ngumu na mbishi kama T-bag. Huyu jamaa nilikuwa namchukia mwanzo lakini asee huyu jamaa amecheza ile role vizuri sana
 
Alexander Mahone was my guy....halafu ile scene ya jamaa alijifanya anahubiri kisha akamkaba Theodore Badwell T -Bag mule ndani niliipenda.
Kuna ile wametoka Sonna Tbag kajipiga pingu na yule shoga Michael ila kuna jamaa akamkata mkono halafu wakamwambia" You are on your own"
Sio Sona pale ndio wametoroka Fox River
 
Back
Top Bottom