Wapenzi wa Prison Break

J
Alexander Mahone was my guy....halafu ile scene ya jamaa alijifanya anahubiri kisha akamkaba Theodore Badwell T -Bag mule ndani niliipenda.
Kuna ile wametoka Sonna Tbag kajipiga pingu na yule shoga Michael ila kuna jamaa akamkata mkono halafu wakamwambia" You are on your own"
Sio walitoka sona.. walikua wametoka fox river..season one hiyo... John abrrutzzi akapiga mkono shoka.. ana roho ngumu sana yule jamaa...
 
Halafu kwenye mishe zote lazima azipate akickia mchongo mpya anakuna sikio kwanza ila Michael Scofield alimuweza alipomuuza ktk gereza la Sona
Hahaaa nakumbuka alikua amesimama ukutani mwa tunel akiwa na berrick akapangusa pua akasema "mmxxxxx that son of the bitch sold us out"
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom