Hahaa lile jamaa lilikua libabe lkn likakamatwa kizembe.Namwona Alex Mahoney, Fernando sucre,Eng.Michael Scofield & Lincoln Burrow.
Hapoo kakosa lile gaidi leusii Wyatt Mathewson sine siikumbuki
Hawa watu sidhani kama tutakuja kuwafikia kwenye acting.
Wanafanya kazi nzuri sio Bongo Mavi kuwaza ngono na mikorogo.Hawa watu sidhani kama tutakuja kuwafikia kwenye acting.
Title tu rafiki yangu ushamaliza picha zima.Yeah and they are also very unpredictable unapodhani tukio linalofuata litakua hivi linakua quet opposite sio za kwetu movie ikianza tuu unajua itaishiaje.
Wentworth Miller aka Michael scofield is gayKama wewe ni mdada, na ulimtamani mmoja kati ya Lincoln, Sucre ama Michael walivyo sexy, Like hapa chini na upige bonge la smile.😛😛
Mkuu aliyeficha hela ni yule mzee walilua wanamuita D.B Cooper jina lingine nimelisahau.James Whistler:Huyu mzee alificha hela zake chini ya ardhi kijiji alikuja kufa Kwa kidonda
Lechero: huyu jamaa alikuwa mbabe sana gerezani ila mwisho wa picha akaja kukalishwa
Don Self: huyu jamaa alikuwa mbinafsi sana, mwisho wa picha akaja akawa ndondocha
Gretchen Morgan: huyu demu anaroho ngumu sana
Hahaa kweli T-Bag alikua shida aisee.Dah sikumbuki scene gani ila bonge moja la season namkubali sana mzee mzima T-Bag hatari sana huyo mtu wapi Bellick mtoto wa mama ila alikufa kishujaa kwa kujitoa muhanga maana bila hivyo ilikua ni ngumu kuipata sylla
Halafu kwenye mishe zote lazima azipate akickia mchongo mpya anakuna sikio kwanza ila Michael Scofield alimuweza alipomuuza ktk gereza la Sona[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahaa kweli T-Bag alikua shida aisee.
Ndio hilo hapo amelitajaMkuu aliyeficha hela ni yule mzee walilua wanamuita D.B Cooper jina lingine nimelisahau.
Bellick alikuja kuwa mchumba sanaDah sikumbuki scene gani ila bonge moja la season namkubali sana mzee mzima T-Bag hatari sana huyo mtu wapi Bellick mtoto wa mama ila alikufa kishujaa kwa kujitoa muhanga maana bila hivyo ilikua ni ngumu kuipata sylla