Wapenzi wa katuni ya star wars na ma programmers wote

Wapenzi wa katuni ya star wars na ma programmers wote

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
361
Jamani kwa wale wapenzi wa katuni ya star wars,ma programmers wa microsoft waliitengeneza katuni hii na kuificha ndani ya windows xp.
Sijui walikuwa wanacheza au la kwa sababu hadi leo sioni reason ya katunii hii kuwa ndani ya windows xp.Anyway kwa anayetaka kuiona
CLICK START then CLICK RUN then copy and paste hii telnet towel.blinkenlights.nl then press enter
Enjoy!!!!!!!!
 
FB kumewachosha sasa vi teenager vimeanza kuvamia JF.
 
nani kasema fb ni vikongwe,kama inakuuma sana teenagers kuingia JF anzisha yako basi....am a young programmer and am from simple stuffz like this i will become a professional
 
Haijatengeneza na MS hiyo ukiandika telnet ujue unaconnect kwenye web server ya towel.blinkenlights.nl unaweza kufanya kwenye OS yoyote ili mradi uwe na telnet client, Vista kwenda juu haziji na telnet unaweza kudownload Putty na ukaconnect.
 
Sielewi kama ni kwamba hajui au anajaribu kutupumbaza..
 
........, Vista kwenda juu haziji na telnet unaweza kudownload Putty na ukaconnect.

Sio kwamba telnet ipo ila inakuwa haijawa enabled by deafult configuration?
 
Back
Top Bottom