Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 2,287
- 3,018
Irene cara- What a feelingsJuke box turudiniiii....
Ace of base- all that she want
Haddaway- rock my heart
Irene cara- What a feelingsJuke box turudiniiii....
Unajua mangoma mzeeAlways - James Inglam
Cassanova - Levvert
Cool it now - New edition
Point off no return -
Roses are red -
Who is that girl - madonna
Get down on it - Cool n the gang
Illusion -
...ngoja niendelee kukumbuka chief,
Binafsi sio mwenga ila kipindi cha JUKE BOX kilikuwa kipindi changu pendwa sana kutoendelea na kipindi niliumia sana, ngoma za zamani zina raha yakeWahenga wenzangu, mmejuaje kuanzisha hii kitu? Nilikipenda sana kile kipindi cha "JUKE BOX" kikiendeshwa na bwana mdogo Kitenge, alipoenda tu tbc ndo ukawa mwisho wake, binafsi ni mpenzi sana wa mangoma ya old time, dah! Ngoja ntulie nitarudi na "madebe" ya zamani
Wakuu kuna wimbo mmoj hiv unaimbwa this is the showdown kaimba mwanadada humo ndani nimeusikia leo kwenye mtaa wa mangoma radio1 mwenye nayo anisaidie.
Mkuu nashukuru sana
Hili goma awe analipiga John Dillinga afu anafanya nae kama anaimba huku anaweka zile ad-lip zake....aisee uta enjoy sana..the guy is real talented DJ na anaujua muziki!
Mkuu huu wimbo ni wa nani
Hili goma awe analipiga John Dillinga afu anafanya nae kama anaimba huku anaweka zile ad-lip zake....aisee uta enjoy sana..the guy is real talented DJ na anaujua muziki!
Hii mgoma bwana kui identify inakuwa ngumu coz ni mix ya ngoma 2 hv so... anyway naendelea kuitafuta mkuu!Mkuu huu wimbo ni wa naniView attachment 2682323
sawa kakaHii mgoma bwana kui identify inakuwa ngumu coz ni mix ya ngoma 2 hv so... anyway naendelea kuitafuta mkuu!
Point of No Return imeimbwa na NushoozAlways - James Inglam
Cassanova - Levvert
Cool it now - New edition
Point off no return -
Roses are red -
Who is that girl - madonna
Get down on it - Cool n the gang
Illusion -
...ngoja niendelee kukumbuka chief,
Point of No Return imeimbwa na Nushooz
Roses are Red imeimbwa na The Mac Band.
Nushooz walitoa ngoma nyingine kali kama
Somebody New
I Can't Wait
Should I Say Yes
Lost Your Number
Ni Mac BandRoses are red- wameimba aqua kama kumbukumbu zangu zipo sahihi.
Rythim of the night - DebargeKuna nyimbo moja anaimba mdada nzuri sana , jina silijui, ila kuna sehemu anaimba hivi "dance to the night au dance tonight " kila nikitaka kujua aliyeimba jina lake nani au jina la wimbo nashindwa kabisa kujua.
Hii ngoma 'Night shift' aliitunga na kuimba msanii mmoja anaitwa Marvin Gaye ambaye pia aliimba 'Sexual healing' baadaye wakatengeneza kundi la wanamuziki wakajiita The Commodores' huo wimbo wakaurudia tena.ngoma kali sana toka the comodoros night shift balaa tupu