Million dollars
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,508
- 2,070
Straight to the point: Its unquestionable Fact Bongo movies wanazingua kote especially upande wa movie za action! Pamoja na kuzingua huko zipo baadhi zenye afadhali atleast! Kuna vijana wanajiita DragonBoys wako njema sana, kuna mzigo unaitwa Agent Bavo nao kidoogo atleast! Kwa wale wavumilivu wenzangu tunaoweza vumilia kuangalia Bongo movie tujuzane Bongo movie zenye angalau kidogo za Action!