Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,686
Sijui kati ya walioko kwenye mapenzi na wanasiasa wepi wanadanganya zaidi??
nadhan wanasiasa wamezd
Matusi ya nini mzee?Wanasiasa sio waongo hata kidogo nandio maana mambo yao huenda kwa data.unaona niwaongo kwa kua umezoea kuona siasa za maccm kwani bila uongo ccm haipo. Eti wanasiasa niwaongo hivi wewe mleta mada unaakili kweli? Mada yakijinga sana hii NYUMA YAKO.