Wapenzi....niliwakosa sana

bado ngoja nikazisome saa hii.....njoo basi hapa Calabash tubinjue w/end

Ha ha aaa!
Usinifanye nipaliwe na haya maji ya dhahabu, kwa kugeuza shingo kama feni mbovu. Nipo hapa kwenye kiwanja hiki hiki, kama vip nijulishe upo pande gani nikuchezeshee mvinyo.

Welcome back madame Preta.
 
Nimegonga baby walker aka vitz hapa ubungo.....ngoja niseto Nao noje hapo.
 
Ha ha aaa!
Usinifanye nipaliwe na haya maji ya dhahabu, kwa kugeuza shingo kama feni mbovu. Nipo hapa kwenye kiwanja hiki hiki, kama vip nijulishe upo pande gani nikuchezeshee mvinyo.

Welcome back madame Preta.

asante sana, bahati mbaya nimeshahama venue
 
Preta
sijui kama wanfaham. ila nakuonaga hapa ukijilaza kifulifuli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom