Wapenzi....niliwakosa sana

Duh....wapwaz and binamuz niliwakosa mbaya kabisa....lakini natumaini wote mpo vizuri......:hug::hug::hug:
Hivi ulitumia usafiri gani kwenda huko "Yaenda Juu"....Una kesi ya kujibu, kwa nini hukupitia mitaa ya "Yaenda Chini". He he he!.:smile-big:
 
tih tih....eehee....kazi ipo....ila nitasawazisha
kazi sana mdada kusawazisha maana naongoza nne bila

Ushauri mkuu ni kwamba pitia ile thread ya infidelity, ukimaliza cheki ile ya tiGO pesa na malizia na ile thread inayoprivent infidelity

thereafter, mcheki da sophy nadhani atakua na zawazi zako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom