Wapenzi mizigo

Haya mambo yanatakiwa kuwa na kiasi kumtegemea mwenzio kwa kila kitu inachosha na kupunguza mapenzi kabisa katika familia nyingi. Hivyo wenye tabia hizo wanatakiwa kuzirekebisha.
 

Inakuaje kama hana uwezo wa kubeba ujauzito?
 
yaan wewe uzito wako ni ule wa zege
mwe; uzito wa sufi kaka ndo maana naingia machakani kuopoa kigori kitakachonibeba japo naona kama mapori yote leo ni makame ngoja nielekee kimboka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…