Wapenzi Kusalitiana mara kwa mara kunaongeza Ubunifu na Utamu wa Mapenzi / Mahaba

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,921
2,000
Wataalam wa masuala ya Mapenzi na Mahusiano wanasema kwamba wale Wapenzi wanaosalitiana mara kwa mara huwa na Ubunifu mkubwa Kitandani na kwamba hata Mahaba yao huongezeka Utamu maradufu kiasi kwamba huwafanya kila Uchao kufurahia Mahusiano na huwa yanadumu mno.

Wataalam hawa walienda mbali zaidi na kutoa mfano kwamba Kitendo hiki ni sawa na Mchezaji wa VPL ( Ligi Kuu ya Tanzania Bara ) ambaye kama akipenda sana kucheza ‘ Ndondo ‘ ( mechi za mitaani / uswahilini ) basi hujiongezea ubunifu mkubwa ambao huja baadae kumsaidia akienda kuichezea Klabu yake katika Ligi Kuu na kumfanya awe mahiri na kupata mafanikio makubwa.

Je Wataalam hawa wa masuala mazima ya ‘ Kubanduana ‘ ( Mapenzi / Mahaba ) wako sahihi au na wao ‘ wamekengeuka ‘ na kuwa wa hovyo hovyo / wajinga?

Nawasilisha.
 
stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
10,382

Hawako sahihi na inaonyesha aliyeongoza jopo la huo utafiti ni mchepukaji,kwahiyo ametengeneza hoja itakayolinda maslahi yake,kusaliti kunamfanya aliesaliti kupoteza ladha kwa mpenzi wake kwani anapokwenda nje ana uwezekano mkubwa wa kukutana na vitu tofauti sana na vile alivyozoea siku zote,hii hupelekea kuona mpenzi wake kuwa hayuko kwenye viwango na hatimaye kumpunguzia hisia ya kimapenzi.
 
Kwahiyo ndiyo kusema hawa ' Wataalam ' walikengeuka na ni wa hovyo hovyo Mkuu?
 
jebs2002

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
6,844
2,000
Kwahiyo ndiyo kusema hawa ' Wataalam ' walikengeuka na ni wa hovyo hovyo Mkuu?
Mkuu siyo kila research lazima iwe ya kuiiga na kuikubali, sidhani kama wanaume wengi watapenda mke awe anabanduliwa nje kisa eti akuletee michejo! Litakuwa swala la jabu sana kwao, pia wazungu wana research na tamaduni za ajabu ajabu sana kaka, mzungu anaweza kufanya research akakwambia mwanaume kubanduliwa nyuma kwaongeza uwezo wa kufikiri! Sasa utaikubali hiyo?!
 
Mkomavu

JF-Expert Member
Jan 25, 2016
9,952
2,000
Hilo ulilosema ni sahihi kabisa kwetu sisi wachepukaji tuliobobea tupo wabunifu sana katika tendo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom