Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,338
- 54,722
Aga utakavyo
Mira ndio nini au unamaanisha mila?Ni mira tu za wazungu
Umenitisha ila choose most correct answer[emoji14]All above
Kama ajeAga utakavyo
Mila ndio sahihi aliteleza mkuuMira ndio nini au unamaanisha mila?
KunjunjaUmenitisha ila choose most correct answer[emoji14]
Haya ni mawazo ya KigodoroNi Unafiki Tu. Bibi Na Babu Zetu Hawakuwahi Kupeana Kiss Wakiwa Wanaagana Lkn Wamedumu Sana Kwenye Ndoa. Hawa Wanao Kiss Ndiyo Kila Siku Wanalia Humu.
Mapenzi Yako Moyoni Mengine Ni Mashauzi Tu.
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji86] [emoji86]Kunjunja
[emoji51] [emoji39] [emoji39][emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji86] [emoji86]
Fungua PM nije nakimbia[emoji51] [emoji39] [emoji39]
Mmh ngoja kwanzaFungua PM nije nakimbia
Htr ila wanasema Mapenzi ni uhusiano wa ndani baina ya vichaa wawili wanaoendana.hahaha jmn utam wa penz huo
Ningoje nini?Mmh ngoja kwanza
Basi kuwa mpoleNingoje nini?
Ni mira tu za wazungu
ahahahaha hilo nalo neno
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Akiwa na lips kama zako,namkiss kila ninapomuona
[emoji40] [emoji40] [emoji14]Kathread kanatamanisha kupigana mabusu
Weee!Akiwa na lips kama zako,namkiss kila ninapomuona