Wapenzi: Kuagana gani huku?

Wapenzi: Kuagana gani huku?

Ni Unafiki Tu. Bibi Na Babu Zetu Hawakuwahi Kupeana Kiss Wakiwa Wanaagana Lkn Wamedumu Sana Kwenye Ndoa. Hawa Wanao Kiss Ndiyo Kila Siku Wanalia Humu.
Mapenzi Yako Moyoni Mengine Ni Mashauzi Tu.
Vipi kwa upande wako mkuu?
 
Ina raha yake umeweka vitu halafu unasepa!!anabaki anajisikilizia huko.
 
Back
Top Bottom