Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,865
- 172,558
Siku tatu mbona chache sana, unanuniwa kulingana na kosa, kuna makosa mnuno wake unaenda hadi mwezi....
Mwanamke akinuna kawaida, ila mwanaume akinuna kuna kitu hakiko sawa.
Mwanamke akinuna kawaida, ila mwanaume akinuna kuna kitu hakiko sawa.